Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

Vipi kama 'amepigwa pingu' na mfumo dhalimu? Vipi kama Serikali yenyewe ndio wahusika? Vipi kama kuna genge lina nguvu kubwa kuliko Serikali?
Unenikumbusha kutesa kwa zamu hadi kuteseka mwenyewe ama kuwatesa wasio na hekima
 
Iko siku atakuja kusema, hasa yakimfika
 
Cheo kipya cha Naibu Waziri mkuu nacho mkifikilia kilivyokuja. Mchezo mgumu sana kwake.
Ila hiki cheo ni fikirishi, lakini changamoto husababisha binadamu afikiri nje ya sanduku na huibuka na fikra chanya zikiambatana na ubunifu, kumbe hakuna haja ya kumlaumu tuna vyeo viwili kwenye jukumu moja
 
Sasa Majaliwa afanyeje na Bosi wake yuko kimya. Unataka wam NDUGAI?
 
Ila hiki cheo ni fikirishi, lakini changamoto husababisha binadamu afikiri nje ya sanduku na huibuka na fikra chanya zikiambatana na ubunifu, kumbe hakuna haja ya kumlaumu tuna vyeo viwili kwenye jukumu moja
Si anhemua kujiuzuru tu
 
Bosi keshasema ni DRAMA, yeye afanyeje sasa..!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…