#COVID19 Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

Nyota ya uongo na upotoshaji ndiyo zao.

Angalia kilichotokea na nyungu na mazaga zaga yake.

Angalia hawa nao:

Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Mimi nikikumbuka tulikuwa tumefika stage ya kiumbe mjinga kabisa kama yule meya wa Moshi kufukuza watu wenye barakoa kwenye mkusanyiko na akaonekana ni shujaa huwa nasema nchi yetu ina kitu kama laana hivi.
 
Leo Msigwa anadai awamu ile kodi ilikusanywa ikaishia mfukoni mwa watu binafsi.

Kama mwendazake atakuwa ana mzoom huko, atakuwa anajisemea hiiiiii!
 
Huyu hawezi kuaminiwa tena.
 
Asilimia 80 ya chanjo milioni moja kwa taifa la watu mamilioni bado ni underperfoming...,

Ushauri kuliko kutumia pesa kuagiza machanjo lukuki ambayo huenda yaka-expire ni bora twende mdogo mdogo..., (kuongeza idadi pindi zinapohitaji) na sio kuleta mzigo na kuanza kutafuta wahitaji (unless otherwise sio hiari tena)
 
Tatizo la wanasiasa wa Tanzania huwa wanaendeshwa na unafiki Sana kuliko ukweli na uhalisia alfu huwa wanatuona watanzania Kama wajinga..

Hivi Nikweli PM hajui kuwa 80% ya dozi iliyopokelewa ni sawa na idadi ya watu zaidi ya laki nane (800k)?

Na Nikweli hajui kuwa wiki iliyopita wizara ya afya ilitoa taarifa ya corona na kusema mpaka wiki iliyopita watanzia waliokuwa wamechanjwa walikuwa 382000, hao laki nane wa 80% wametoka wapi?

Kwanini tumejijengea tabia ya kusema uongo ulio wazi?
Ili tumufurahishe Nani?
Na kwa faida gani?
 
Dah
Rest well JPM
 
Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.

Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli hiyo imekuja baada ya Serikali kuanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha uchanjaji wa chanjo hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.

Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 4 2021, wakati akifungua kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (Neec).

“Tunalo zoezi la uchanjaji. Namshukuru Mungu tumefikia asilimia 80 na kitu huko, tumebaki na chanjo chache sana kwenye mikoa hiyo. Kila mmoja awahi huko na kama kuna mahitaji tutaleta nyingine malengo ni afya,”amesema.

Amesema suala la chanjo sio lazima lakini ni muhimu kwaasababu linasaidia kuongeza virutubisho mwilini na iwapo mtu atapata hawezi kuwa mwepesi kama vile mtu ambaye hajachanjwa kabisa.

Amewaagiza wakuu wa mikoa kutoa elimu na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuchanja chanjo hiyo.

Mwananchi​

Mwenye video atuwekee tafadhali maana usikute Mwananchi wamekosea
 
Nakumbuka kipindi cha Magufuli kila jambo la serikali walikuwa wanasema limekamilika kwa 80%+. Naona bado huyo waziri mkuu mzee wa uongo uliotukuka bado yuko kwenye hangover ya data za kupika.
a. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.

Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli hiyo imekuja baada ya Serikali kuanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha uchanjaji wa chanjo hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.

Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 4 2021, wakati akifungua kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (Neec).

“Tunalo zoezi la uchanjaji. Namshukuru Mungu tumefikia asilimia 80 na kitu huko, tumebaki na chanjo chache sana kwenye mikoa hiyo. Kila mmoja awahi huko na kama kuna mahitaji tutaleta nyingine malengo ni afya,”amesema.

Amesema suala la chanjo sio lazima lakini ni muhimu kwaasababu linasaidia kuongeza virutubisho mwilini na iwapo mtu atapata hawezi kuwa mwepesi kama vile mtu ambaye hajachanjwa kabisa.

Amewaagiza wakuu wa mikoa kutoa elimu na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuchanja chanjo hiyo.

Mwananchi​

Tatizo la wanasiasa wa Tanzania huwa wanaendeshwa na unafiki Sana kuliko ukweli na uhalisia alfu huwa wanatuona watanzania Kama wajinga..

Hivi Nikweli PM hajui kuwa 80% ya dozi iliyopokelewa ni sawa na idadi ya watu zaidi ya laki nane (800k)?

Na Nikweli hajui kuwa wiki iliyopita wizara ya afya ilitoa taarifa ya corona na kusema mpaka wiki iliyopita watanzia waliokuwa wamechanjwa walikuwa 382000, hao laki nane wa 80% wametoka wapi?

Kwanini tumejijengea tabia ya kusema uongo ulio wazi?
Ili tumufurahishe Nani?
Na kwa faida gani?

Kwani hujui CCM kusafiria nyota ya upotoshaji ni jadi?
 
Huyu jamaa haaminiki tokea alivyodanganya kuhusu hali ya afya ya mwendazake dikteta
 
Kwani Msigwa mfungia magazeti hajatoa tamko bado?

Majaliwa: Zoezi la chanjo za Uviko-19 limefikia asilimia 80

Au hii imekaa kimkakati zaidi?

Hii ilikua September

"Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"🤣🤣🤣
 
Hii ilikua September

Ukiwaamini hawa, jipange kuamini kila jambo.

Hata wakikwambia fulani ni gaidi, wala usiwabishie.
 
Leo Msigwa anadai awamu ile kodi ilikusanywa ikaishia mfukoni mwa watu binafsi.

Kama mwendazake atakuwa ana mzoom huko, atakuwa anajisemea hiiiiii!
Sijui ni kwa nini watu hawaoni kuwa kuna umuhimu mkubwa sana sana wa kuwa na system itakayo-check mtu mmoja asiwe tena na nduvu za madaraka kiasi cha kufikia watu kumwabudu kinafiki hata anapokosea. Mama Samie naye ni muda tu. Tena atakuja kulaumiwa na kuonekana kama alikuwa kiongozi mbovu kuwahi kutokea.
 
Back
Top Bottom