Hata asilimia 80 ya zilizoletwa bado. Hapa kuna kutumia uongo ili Tanzania isionekane kama iko nyuma. Bila kusahau fedha za misaada.
Mimi nikikumbuka tulikuwa tumefika stage ya kiumbe mjinga kabisa kama yule meya wa Moshi kufukuza watu wenye barakoa kwenye mkusanyiko na akaonekana ni shujaa huwa nasema nchi yetu ina kitu kama laana hivi.Nyota ya uongo na upotoshaji ndiyo zao.
Angalia kilichotokea na nyungu na mazaga zaga yake.
Angalia hawa nao:
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Mimi nikikumbuka tulikuwa tumefika stage ya kiumbe mjinga kabisa kama yule meya wa Moshi kufukuza watu wenye barakoa kwenye mkusanyiko na akaonekana ni shujaa huwa nasema nchi yetu ina kitu kama laana hivi.
Huyu hawezi kuaminiwa tena.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?" Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...www.jamiiforums.com
Jiandae tu muda si muda ama utakuwa gasho au mashine kusizNimechanja tangu July niko poa. Tu
USSR
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?" Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...www.jamiiforums.com
Mwenye video atuwekee tafadhali maana usikute Mwananchi wamekoseaDodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.
Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli hiyo imekuja baada ya Serikali kuanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha uchanjaji wa chanjo hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 4 2021, wakati akifungua kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (Neec).
“Tunalo zoezi la uchanjaji. Namshukuru Mungu tumefikia asilimia 80 na kitu huko, tumebaki na chanjo chache sana kwenye mikoa hiyo. Kila mmoja awahi huko na kama kuna mahitaji tutaleta nyingine malengo ni afya,”amesema.
Amesema suala la chanjo sio lazima lakini ni muhimu kwaasababu linasaidia kuongeza virutubisho mwilini na iwapo mtu atapata hawezi kuwa mwepesi kama vile mtu ambaye hajachanjwa kabisa.
Amewaagiza wakuu wa mikoa kutoa elimu na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuchanja chanjo hiyo.
Mwananchi
Mwenye video atuwekee tafadhali maana usikute Mwananchi wamekosea
a. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.
Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli hiyo imekuja baada ya Serikali kuanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha uchanjaji wa chanjo hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 4 2021, wakati akifungua kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (Neec).
“Tunalo zoezi la uchanjaji. Namshukuru Mungu tumefikia asilimia 80 na kitu huko, tumebaki na chanjo chache sana kwenye mikoa hiyo. Kila mmoja awahi huko na kama kuna mahitaji tutaleta nyingine malengo ni afya,”amesema.
Amesema suala la chanjo sio lazima lakini ni muhimu kwaasababu linasaidia kuongeza virutubisho mwilini na iwapo mtu atapata hawezi kuwa mwepesi kama vile mtu ambaye hajachanjwa kabisa.
Amewaagiza wakuu wa mikoa kutoa elimu na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuchanja chanjo hiyo.
Mwananchi
Tatizo la wanasiasa wa Tanzania huwa wanaendeshwa na unafiki Sana kuliko ukweli na uhalisia alfu huwa wanatuona watanzania Kama wajinga..
Hivi Nikweli PM hajui kuwa 80% ya dozi iliyopokelewa ni sawa na idadi ya watu zaidi ya laki nane (800k)?
Na Nikweli hajui kuwa wiki iliyopita wizara ya afya ilitoa taarifa ya corona na kusema mpaka wiki iliyopita watanzia waliokuwa wamechanjwa walikuwa 382000, hao laki nane wa 80% wametoka wapi?
Kwanini tumejijengea tabia ya kusema uongo ulio wazi?
Ili tumufurahishe Nani?
Na kwa faida gani?
Kwani Msigwa mfungia magazeti hajatoa tamko bado?
Majaliwa: Zoezi la chanjo za Uviko-19 limefikia asilimia 80
Au hii imekaa kimkakati zaidi?
Hakuna kiumbe ambacho hakijawahi kuchanja chanjo yeyote mpaka usawa huu...Sijawahi kuchanja,niko poa tu
Hii ilikua September
#COVID19 - Serikali: 34% ya Watanzania walengwa wa awamu ya kwanza wamepata chanjo ya UVIKO-19, sasa tunapeleka chanjo Vijijini
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema takribani watu 345,000 sawa na 34% ya chanjo zilizokuja wameshachanja. Msigwa amesema kazi kubwa imefanyika kuhakikisha watu hao wengi wamechanjwa na sasa kipaumbele kitakuwa vijijini ambako tunawapelekea chanjo huko huko. Msigwa amesema chanjo...www.jamiiforums.com
Sijui ni kwa nini watu hawaoni kuwa kuna umuhimu mkubwa sana sana wa kuwa na system itakayo-check mtu mmoja asiwe tena na nduvu za madaraka kiasi cha kufikia watu kumwabudu kinafiki hata anapokosea. Mama Samie naye ni muda tu. Tena atakuja kulaumiwa na kuonekana kama alikuwa kiongozi mbovu kuwahi kutokea.Leo Msigwa anadai awamu ile kodi ilikusanywa ikaishia mfukoni mwa watu binafsi.
Kama mwendazake atakuwa ana mzoom huko, atakuwa anajisemea hiiiiii!