Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA walidai waziri mkuu mstaafu mh Frederick Sumaye alikuwa ametumwa ili kukivuruga chama hicho.Je dhamila yake hiyo imetimia?
Acha kupotosha, Slaa haumizwi na Wao kurudi walikotoka. Aliwauliza ninyi mabwege mliowapokea. Na akaamua kujiengua. Hivyo Kwa Wao kuwa ccm haimsumbuhi yupo busy Kuimarisha diplomasia. Ninyi Nyumbu Ndiyo bado tunawacheka.Ngoja tumuilize Slaa kama Sumaye ni Asset. Hatimaye wale aliowakimbia Slaa wamemfuata na mbaya zaidi wapo chumbani wakati yeye yupo sebuleni.
Naongezea .... amekubaliwa kurudi kwa mbinde saaana. He was desperate n unwelcome.Imefeli vibaya sana... Lakini sometimes tuache haya maneno kuwa alitumwa kwakuwa misukosuko aliyopigia ni zaidi ya kuzuga
Jr[emoji769]
Misukosuko ipi chief @Mshana jr?
Hiyo kweli mkuu mkuu maana ni jirani yangu hapa Kiluvya Makurunge I salute you chief amenyookaKupokonywa mashamba yake mengi.. Au nayo ilikuwa zuga?
Jr[emoji769]
Kwaiyo watamrudishiaHiyo kweli mkuu mkuu maana ni jirani yangu hapa Kiluvya Makurunge I salute you chief amenyooka
Ila ungefahamu kuwa kuna mambo yalishindikana kiserikali kutokana na huyu mtu kutokuwepo unsingesema hivyo mkuuNiulizie ili iweje labda?
Huyo amerudi CCM ili apate kuendelea kukaa ndani ta system na ama asisahaulike
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni yako nendeni mahakamani kama mlivyokariri!
Nipo nipo.