Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Imefeli vibaya sana... Lakini sometimes tuache haya maneno kuwa alitumwa kwakuwa misukosuko aliyopigia ni zaidi ya kuzuga
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA walidai waziri mkuu mstaafu mh Frederick Sumaye alikuwa ametumwa ili kukivuruga chama hicho.Je dhamila yake hiyo imetimia?

Jr[emoji769]
 
Ngoja tumuilize Slaa kama Sumaye ni Asset. Hatimaye wale aliowakimbia Slaa wamemfuata na mbaya zaidi wapo chumbani wakati yeye yupo sebuleni.
Acha kupotosha, Slaa haumizwi na Wao kurudi walikotoka. Aliwauliza ninyi mabwege mliowapokea. Na akaamua kujiengua. Hivyo Kwa Wao kuwa ccm haimsumbuhi yupo busy Kuimarisha diplomasia. Ninyi Nyumbu Ndiyo bado tunawacheka.
 
Nafikiri sasa atarudishiwa mashamba yake aliyonyang'anywa
 
Mara baada ya Lowassa kurudi CCM kila mwanachadema alijua Sumaye karudi CCM. Ndiyo maana hakuaminika tena hata alipogombea uenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na akagombea tena Uenyekiti wa Chama Taifa
 
Ya Dr Slaa yametimia,historia imeandikwa!
 
Hii siyo story kabisa,ila wanasiasa wa Tz acheni hiyo tabia.....kabla ya kwenda chama A au B someni na kuelewa vizuri ideology za vyama,mtu kama mzee wangu Sumaye hata wajukuu wanamcheka
 
Back
Top Bottom