MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Mkuu;2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.
2015 akamfuata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa.
2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udikteta unaofikia mwisho oktoba na kuangukia pua.
Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.
Bora ajib ni ya bundi kabsaaKwa hiyo unataka kusema ana nyota ya Ajib?!
Hawez kurudishiwaKama analipwa hizo ungemuuliza anahangaika nini si atulie?Halafu mrudishieni lile Shamba lake la Mabwepande na Mvomero
Sent using Jamii Forums mobile app
2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.
2015 akamfuata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa.
2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udikteta unaofikia mwisho oktoba na kuangukia pua.
Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.
Hapo ndipo ujue hakuna anayepigania masrahi ya wananchi ila kila mtu anapigania ulaji wake na familia yake. Uisubiri mwanasiasa akuletee maendelea utasubiri mpaka unakufaWana SI hasa! Ni kama vile "visungura tope". Havieleweki, leo hapa kesho kule, na huwa havina hata chembe moja ya aibu.
Mtu anayelipwa 80% ya mshahara wa waziri mkuu wa Sasa unadhani ana tabu kama kiongozi wenu wa maisha ?
Kama Wasira
Alitumwa na kashindwa assignment hivyo amerejea bench kwenye waiting list ya ubalozi(Kama anasifa kiduchu).
Ila Wasira ana akili. Ametulia tuli baada ya kujua kuwa Wakati ukuta
Na nguvu zake zooote imeshindwa kuyajibu mabeberu yanapowajambisha.CCM ina nguvu kuliko kipindi kingine chcht labda ukawa kushinda yesi ashukr
Sent using Jamii Forums mobile app
CC :Kipara Kipya'2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.'
Mtu alikua waziri mkuu wa Mkapa 1995-2005 bado unataka arudishwe tena kua waziri wa kawaida kipindi cha Kikwete?
Anyway ndio wachambuzi wetu hao.
BTW CCM hua wanamuita Sumaye ni Zero Brain.
dodge
Kama analipwa hizo ungemuuliza anahangaika nini si atulie?Halafu mrudishieni lile Shamba lake la Mabwepande na Mvomero
Sent using Jamii Forums mobile app