MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Mkuu;2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.
2015 akamfuata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa.
2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udikteta unaofikia mwisho oktoba na kuangukia pua.
Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.
Sentensi yako ya kwanza kwenye thread imeonyesha huijua hata historia ya Sumaye katika siasa!
Mtu aliyekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 ulitaka awe waziri tena kwenye serikali ya Awamu ya nne?