Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.

2015 akamfuata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa.

2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udikteta unaofikia mwisho oktoba na kuangukia pua.

Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.
Mkuu;
Sentensi yako ya kwanza kwenye thread imeonyesha huijua hata historia ya Sumaye katika siasa!

Mtu aliyekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 ulitaka awe waziri tena kwenye serikali ya Awamu ya nne?
 
Yaani hana tofauti na Ibrahim Ajibu kwenye soka
2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.

2015 akamfuata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa.

2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udikteta unaofikia mwisho oktoba na kuangukia pua.

Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana SI hasa! Ni kama vile "visungura tope". Havieleweki, leo hapa kesho kule, na huwa havina hata chembe moja ya aibu.
Hapo ndipo ujue hakuna anayepigania masrahi ya wananchi ila kila mtu anapigania ulaji wake na familia yake. Uisubiri mwanasiasa akuletee maendelea utasubiri mpaka unakufa
 
Wasira siku hizi ameamua kuwa mfugaji wa mbuzi wawili tu baada ya kufedheheshwa na mtoto wa kike
Kama Wasira
tapatalk_1458023812583-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yametimia Mimi nilikuwa ni mmoja ambaye sikuamini waziri mkuu mstaafu kuingia upinzani Tena nchi hii.cdm bwana hivi mliamini kweli .karibu home mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.'

Mtu alikua waziri mkuu wa Mkapa 1995-2005 bado unataka arudishwe tena kua waziri wa kawaida kipindi cha Kikwete?

Anyway ndio wachambuzi wetu hao.

BTW CCM hua wanamuita Sumaye ni Zero Brain.

dodge
CC :Kipara Kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom