Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Waliambiwa hakuna neutral hawakuelewa , eti nabaki sina chama maweee. Hapo shinikizo lipo sio bure ili kubalance mtoko wa makatibu. Mengi yaja kabla ya Oct 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…