Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa!Kabanwa na TRA au kabanwa na njaa?
Waliambiwa hakuna neutral hawakuelewa , eti nabaki sina chama maweee. Hapo shinikizo lipo sio bure ili kubalance mtoko wa makatibu. Mengi yaja kabla ya Oct 2020.Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Itakuwa vyote mkuuKabanwa na TRA au kabanwa na njaa?
Hawa huwa wanasikilizia nini kasema polepole ndio inakuwa kauli yao ya siku. Yaani ni bendera fuata upepo
Sasa mbona jamaa yako kaingia mitini? Anionyeshe ni lini na wapi alinisikia nikisema hivyo.Hawa huwa wanasikilizia nini kasema polepole ndio inakuwa kauli yao ya siku. Yaani ni bendera fuata upepo
Lini kinana aliwahi kuwa chadema?Kinana akiwa CCM mnamwita mzee wa pembe za ndovu akija CDM mtamwita mzee mwenye msimamo na asiyebabaishwa na CCM akirudi CCM mtarudia tena kumwita mzee wa pembe za ndovu. Nyie ni vinyonga nyambafu sana
Sent using Jamii Forums mobile app