Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

CHADEMA kuna mapandikizi wengi sana wa TISS na CCM. Kunatakiwa umakini wa hali ya juu,..Kuna kale kajamaa kalikuwa Mbunge wa lile jimbo LA pale Mwanza,Kale ni kakiraka mwanzo mwisho sema chadema hawajui...Wapo na wengi wa aina yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana mtandao,

Huyu mzee wapinzani walimpokea wakati hakuwa material kwao, zile tambo za kusema anaenda kufundisha siasa makini kwa ajili ya maendeleo ya baadae ilikuwa uongo, yamkini wakati anaaacha siasa alisema hajiungi na chama chochote, ilikuwaje akatimukia CHADEMA.

CHADEMA ijifunze kutopokea makapi ambayo hayana uvumilivu. Ameweza kuwachambua vilivyo, sasa tegemeeni mabaya baada ya kuwachunguza, kumbuka alienda kusoma Harvard na kumaliza chuo.
Geresha gani wakati shamba la Mabwepande limekatwa viwanja hata mimi nimejenga baada ya kuuziwa na wavamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Sumaye hawezi kuipa masharti CCM ya kurudi kwake.

Watakaokuwa wanakula matapishi ni akina Sumaye na Lowasa na si CCM ya sasa..
CCM ya sasa imewafuata kinana na makamba kuwahoji nyumbani dar baada ya kuwagomea kwenda dodoma, unalijua hill??
 
Alikosa nafasi ya kugombea urais CCM akachomoa betri! Akakosa nafasi ya kuchaguliwa kwenye kura Chadema kang'oa rejeta! Uchaguzi ndiyo huo unakuja anauvizia getini sijui akikosa tena CCM ataenda ACT-Wazalendo?
 
Aliingia huko akidhani EL atazima na yeye atakua automatic choice. Shame will be on him for as long as he lives. Wamrudishie walichompoka this shadow of man in a blouse.
 
Salamu wana wa uwanja huu. Nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu,nn dhamira ya watu kama Sumaye kwa Watanzania hasa maskini.Huyu bwana amedumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kipindi cha Mzee Mkapa kwa miaka kumi mfululizo, hakutosheka.

Akautaka u Rais 2015, mchakato ukamtema, hakiridhika, akahamia CHADEMA kwa mbwembwe nyingi huku akiponda mchakato uliomuengua katika kinyanganyiro kule CCM.Ikawa usiku, ikawa asubuhi, uchaguzi wa Kanda juzijuzi huko CHADEMA ukambwaga chini, pwaaaaaaa,hakuridhika, akatangaza kujiweka kando na Siasa huku akiwatuhumu CHADEMA hata Serikali kwamba mali zake (mashamba) nk,zilitwaliwa.

Jana babu huyu huyu asokuwa na haya, asojitambua, akautangazia umma wa Watanzania kuwa anarejea CCM huku akiwaponda Wapinzani.Napenda nimweleze Sumaye aka Mr ZERO, ww ni ZERO!na Ujue WATANZANIA SIYO WAJINGA!Kibajaji aliwahi kukuambia "KAMA HUKUSHIBA KWENYE SINIA, HUWEZI KUSHIBA KWA KULAMBA VIDOLE" Dhahiri ww ni babu ulotawaliwa na ubinafsi,chuki na tamaa tele.

Nimwombe mh RAIS JPM, huyu jamaa usimteue hata ujumbe wa nyumba kumi kumi, hafai!Ndo hawa watakuja kuendeleza makundi na mipasuko ndani ya chama chetu kitukufu hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa twente twente

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom