Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Safi sana, bado mh. Nyalandu. Baada ya kukamilisha kazi aliyotumwa upinzani, tutamkaribisha nyumbani.#CCM#SISIndioWATAALAM BUANA#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"For the greater glory of God".Safi sana, bado mh. Nyalandu. Baada ya kukamilisha kazi aliyotumwa upinzani, tutamkaribisha nyumbani.#CCM#SISIndioWATAALAM BUANA#
Ufipa chaaaaaaaaaliAfrika na siasa uchwara
Full vi-WONDER utashangaa atarudishiwa kimyakimya, Hapo ndo utajua SHETANI Yupo kazini na Anawaumini wa kutosha.Na Mashamba Yake atarudishiwa au siyo?
Umesoma ukaelewa nilichokiandika?Kwani Sumaye na Lowasa walipokuwa CHADEMA mlikuwa mnawaitaje?
Chongeni tenaNgoja tumuilize Slaa kama Sumaye ni Asset. Hatimaye wale aliowakimbia Slaa wamemfuata na mbaya zaidi wapo chumbani wakati yeye yupo sebuleni.
Ndiyo maana mwenye chama aliwahi kusema wanawashwa washwa hakukosea.I wish hawa viongozi wastaafu wangeiga kwa Cleopa Msuya. Kimya utafikiri hayupo, anakula pension yake taratiiiibu
Hapo je ?Safi sana, bado mh. Nyalandu. Baada ya kukamilisha kazi aliyotumwa upinzani, tutamkaribisha nyumbani.#CCM#SISIndioWATAALAM BUANA#