Waziri Mkuu mstaafu wa Israel aelezea jinsi Israel inavyoitegemea Marekani katika vita yake huko Gaza

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak:

1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani.

2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani

3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani.

4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN

5. Na pia kumbe wanategemea walindwe na Marekani katika kesi dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa.

Huu ni ushahidi kuwa hawa jamaa bila backup ya Superpower, mapema sana wangekuwa wameshasanda.

Video hii hapa:

View: https://m.youtube.com/watch?v=XjND7gI3XIc
 
Allah atawalipia waislam wa Palestina. Ipo siku raia wa Marekani watatafuta ukimbizi Temeke mwembe Yanga. Kulikua na mataifa yenye nguvu lkn sasa tunasoma tu history zao
 
Wenye nguvu huko USA ndio hao hao Jews.

Wanachofanya ni kutoa mfuko wa kushoto na kuweka mfuko wa Julia
 
Muhimu sana Israel ilindwe kwa nguvu zote, mabilioni ya mazombi wa dini wanatamani ifutwe.
 
Allah atawalipia waislam wa Palestina. Ipo siku raia wa Marekani watatafuta ukimbizi Temeke mwembe Yanga. Kulikua na mataifa yenye nguvu lkn sasa tunasoma tu history zao
Dua zako umetoa Aya gani? Maana hata Allah aliwalaani Wayahudi wageuke pig na nyani ila leo ni Most powerful country.. Allah hana uwezo wowote alitoa empty threat
 
Back
Top Bottom