Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ni wenzetu kwenye vita dhidi ya kobaz,pedo na ndevuMarekani ni mwenzetu?
Wametuacha mbali sana
Allah atawalipia waislam wa Palestina. Ipo siku raia wa Marekani watatafuta ukimbizi Temeke mwembe Yanga. Kulikua na mataifa yenye nguvu lkn sasa tunasoma tu history zaoHaya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak:
1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani.
2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani
3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani.
4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN
5. Na pia kumbe wanategemea walindwe na Marekani katika kesi dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa.
Huu ni ushahidi kuwa hawa jamaa bila backup ya Superpower, mapema sana wangekuwa wameshasanda.
Video hii hapa:
View: https://m.youtube.com/watch?v=XjND7gI3XIc
Dua la kuku!Allah atawalipia waislam wa Palestina. Ipo siku raia wa Marekani watatafuta ukimbizi Temeke mwembe Yanga. Kulikua na mataifa yenye nguvu lkn sasa tunasoma tu history zao
Mwanaume mwenye akili timamu huwezi kuongea namna hyo, kwani ndevu si ni utambulisho wa mwanaume, au wewe unataka kufanana na dada yako kuanzia kidevuni hadi makalioni??!!!Ni wenzetu kwenye vita dhidi ya kobaz,pedo na ndevu
Dua zako umetoa Aya gani? Maana hata Allah aliwalaani Wayahudi wageuke pig na nyani ila leo ni Most powerful country.. Allah hana uwezo wowote alitoa empty threatAllah atawalipia waislam wa Palestina. Ipo siku raia wa Marekani watatafuta ukimbizi Temeke mwembe Yanga. Kulikua na mataifa yenye nguvu lkn sasa tunasoma tu history zao