Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga.

Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar jana Aprili 29, 2026, baada ya kupata bao dakika za jioni kwa penalti uliofungwa na Seleman Mwalimu.

Kombe hilo ni la saba kwa Simba katika michuano hiyo akiwa amemfikia mpinzani wake Yanga.

 
Ushindi wa mbinde akamuulize Diara alivyopelekwa marikiti kununua mihogo kivunde.
 
Back
Top Bottom