Waziri Mkuu Mwigulu amfariji Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake

Waziri Mkuu Mwigulu amfariji Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

IMG-20260910-WA0052.jpg
IMG-20260910-WA0053.jpg
IMG-20260910-WA0055.jpg
IMG-20260910-WA0057.jpg
IMG-20260910-WA0056.jpg
 
Madelu kaenda kumuomba bimsumi amuombee msamaha kwa Abdul kutokana na yeye madelu kumtishia maisha Mwaipopo ambaye ni jembe la Abdul.
 
Kama ni ulimbukeni basi nchi hii Ina malimbukeni wengi, Mimi nimewai kumuona Lisu na Heche kuna siku walivaa kanzu.
Ebo... kumbe hujanielewa? Nimesema ni ulimbukeni na wewe unajaribu kutetea kwa kuongeza idadi ya watu waliovaa kanzu?
 
Mwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
We ndo zuzu

Nani kakwambia kuwa kuiga kuvaa kanzu ndo uzuzu? Nenda kule kwa wahaya kanzu ni vazi la heshima na si vazi la kidini, nenda nigeria uone!

1. Anyway, ebu tuonyeshe vazi la kitanzania ili tujue kuwa pm nchemba kaiga.

2. Unajua maana na asili ya vazi ulilovaa wewe?
 
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

View attachment 3667790View attachment 3667791View attachment 3667792View attachment 3667793View attachment 3667794
Pole mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan,

R.I.P hayati Hafidhi Ameir 🌹
 
We ndo zuzu

Nani kakwambia kuwa kuiga kuvaa kanzu ndo uzuzu? Nenda kule kwa wahaya kanzu ni vazi la heshima na si vazi la kidini, nenda nigeria uone!

1. Anyway, ebu tuonyeshe vazi la kitanzania ili tujue kuwa pm nchimbi kaiga.

2. Unajua maana na asili ya vazi ulilovaa wewe?
Ni ulimbukeni na uzuzu. Mila za kiarabu hizo. Ila wewe kama unataka kuvaa, sina shida.
 
Na duʼah yetu ametusomea sheikh wetu mwigulu mchemba siyo!
 
Ni utaratibu wa wapi mwanaume kumpigia Goti mwanamke? Tena sio kwenye ndoa? Nahitaji kujuzwa.
 
  • Thanks
Reactions: ---
Sawa great thinker

Turudi sasa, ili tusiwe na ulimbukeni na uzuzu wa mila za kiarabu, vazi letu la kitanzania ni lipi?
Uko nchi gani wewe? Tanzania ina asili ya jamii nyingi na kila jamii ina mavazi yake. Hata ukipenda kuvaa kanzu (kama watu wa Pwani) ni sawa. Ulimbukeni ninaoona mimi ni watu kuvaa kaznu kwa sababu tu aliyefiwa ni ''chogo mwislam''. Mbona Lowassa walipofariki hawakuvaa kimasai walipoenda huko? Unafiki na ulimbukeni tu.
 
Mwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
Hakuna maana yoyote ya kuvaa kanzu Dogo zaidi ya kuwa ni utamaduni wa Kiarabu. Ni kama Mimi hapa sasa hivi nimevaa suti na tai ambao ni utamaduni wa Kizungu. Una maana gani zaidi ya hapo?
 
Uko nchi gani wewe? Tanzania ina asili ya jamii nyingi na kila jamii ina mavazi yake. Hata ukipenda kuvaa kanzu (kama watu wa Pwani) ni sawa. Ulimbukeni ninaoona mimi ni watu kuvaa kaznu kwa sababu tu aliyefiwa ni ''chogo mwislam''. Mbona Lowassa walipofariki hawakuvaa kimasai walipoenda huko? Unafiki na ulimbukeni tu.
Sasa kama umekiri kuwa kanzu ni kama mavazi mengine, pm kafanya kosa gani hapo?, kwa kuvaa kwake hvo taifa limepungukiwa nini? Ulitaka avaaje?

Tupate majibu great thinker wa jf
 
Back
Top Bottom