Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Ndiyo utaratibu wenu siyoKwenye matukio kama msiba kumfariji mfiwa kwa kupiga goti ni kawaida sana,
Ndiyo utaratibu wenu siyoKwenye matukio kama msiba kumfariji mfiwa kwa kupiga goti ni kawaida sana,
Huwezi amini pamoja na goti lkn anaweza akatumbuliwaNa goti juu! Bi mkubwa anafarijiwa wapi?
Kwani ni lazima ujikombe kwa kanzu ewe idiot wa JF? Mbona msiba wa Lowassa hawakuvaa kimasai?Sasa kama umekiri kuwa kanzu ni kama mavazi mengine, pm kafanya kosa gani hapo?, kwa kuvaa kwake hvo taifa limepungukiwa nini? Ulitaka avaaje?
Tupate majibu great thinker wa jf
Uzwaza ni wewe unayeabudu mavazi ya kiarabu. Mbona Lowassa alifariki hamkuenda na mavazi ya kimasai?Mavazi ni mavazi tuuu, zinduka, acha uzwazwa
Ndiyo maana nimesema wewe na kina Samia akili zenu ndogo.Hakuna maana yoyote ya kuvaa kanzu Dogo zaidi ya kuwa ni utamaduni wa Kiarabu. Ni kama Mimi hapa sasa hivi nimevaa suti na tai ambao ni utamaduni wa Kizungu. Una maana gani zaidi ya hapo?
Sawa. Samia ana akili ndogo lakini ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Sasa piga picha wewe ambaye hata humu JF hujulikani zaidi ya kutumia pseudo name una akili ndogo kiasi gani! Ahahahahaha!!!Ndiyo maana nimesema wewe na kina Samia akili zenu ndogo.
Great thinker wa jfKwani ni lazima ujikombe kwa kanzu ewe idiot wa JF? Mbona msiba wa Lowassa hawakuvaa kimasai?
Rais wa kuua watu! Mawee! Acha nife nikiwa omba omba kuliko niwe rais kwa sababu nimeua maelfu ya watu. Huyu tunakuachia wewe na mumeo.Sawa. Samia ana akili ndogo lakini ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Sasa piga picha wewe ambaye hata humu JF hujulikani zaidi ya kutumia pseudo name una akili ndogo kiasi gani! Ahahahahaha!!!
Sasa hilo dua la kuku na siwezi kusema chochote hapo!🙏🙏🙏🙏Rais wa kuua watu! Mawee! Acha nife nikiwa omba omba kuliko niwe rais kwa sababu nimeua maelfu ya watu. Huyu tunakuachia wewe na mumeo.
Hiyo inaitwa kula naUzwaza ni wewe unayeabudu mavazi ya kiarabu. Mbona Lowassa alifariki hamkuenda na mavazi ya kimasai?
OkayUzwaza ni wewe unayeabudu mavazi ya kiarabu. Mbona Lowassa alifariki hamkuenda na mavazi ya kimasai?
Mbona mapadri na wachungaji wa makanisa nao huvaa kanzu.Mwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
Unakwazika wakivaa?Mbona mapadri na wachungaji wa makanisa nao huvaa kanzu.
Acheni uséng3Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3667790View attachment 3667791View attachment 3667792View attachment 3667793View attachment 3667794