Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Acha chuki Kaka, Yale ni mavazi tu wewe kama hutaki usivae, Na anayevaa usimkasirikie.Mwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
Hakika siyo mavazi tu. Ni mavazi ya ulimbukeni. Ndiyo shida yangu.Acha chuki Kaka, Yale ni mavazi tu wewe kama hutaki usivae, Na anayevaa usimkasirikie.
Kwenye matukio kama msiba kumfariji mfiwa kwa kupiga goti ni kawaida sana,Na goti juu! Bi mkubwa anafarijiwa wapi?
Kama ni ulimbukeni basi nchi hii Ina malimbukeni wengi, Mimi nimewai kumuona Lisu na Heche kuna siku walivaa kanzu.Hakika siyo mavazi tu. Ni mavazi ya ulimbukeni. Ndiyo shida yangu.
Ebo... kumbe hujanielewa? Nimesema ni ulimbukeni na wewe unajaribu kutetea kwa kuongeza idadi ya watu waliovaa kanzu?Kama ni ulimbukeni basi nchi hii Ina malimbukeni wengi, Mimi nimewai kumuona Lisu na Heche kuna siku walivaa kanzu.
We ndo zuzuMwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
Pole mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan,Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3667790View attachment 3667791View attachment 3667792View attachment 3667793View attachment 3667794
Ni ulimbukeni na uzuzu. Mila za kiarabu hizo. Ila wewe kama unataka kuvaa, sina shida.We ndo zuzu
Nani kakwambia kuwa kuiga kuvaa kanzu ndo uzuzu? Nenda kule kwa wahaya kanzu ni vazi la heshima na si vazi la kidini, nenda nigeria uone!
1. Anyway, ebu tuonyeshe vazi la kitanzania ili tujue kuwa pm nchimbi kaiga.
2. Unajua maana na asili ya vazi ulilovaa wewe?
Sawa great thinkerNi ulimbukeni na uzuzu. Mila za kiarabu hizo. Ila wewe kama unataka kuvaa, sina shida.
Uko nchi gani wewe? Tanzania ina asili ya jamii nyingi na kila jamii ina mavazi yake. Hata ukipenda kuvaa kanzu (kama watu wa Pwani) ni sawa. Ulimbukeni ninaoona mimi ni watu kuvaa kaznu kwa sababu tu aliyefiwa ni ''chogo mwislam''. Mbona Lowassa walipofariki hawakuvaa kimasai walipoenda huko? Unafiki na ulimbukeni tu.Sawa great thinker
Turudi sasa, ili tusiwe na ulimbukeni na uzuzu wa mila za kiarabu, vazi letu la kitanzania ni lipi?
Hakuna maana yoyote ya kuvaa kanzu Dogo zaidi ya kuwa ni utamaduni wa Kiarabu. Ni kama Mimi hapa sasa hivi nimevaa suti na tai ambao ni utamaduni wa Kizungu. Una maana gani zaidi ya hapo?Mwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
Mavazi ni mavazi tuuu, zinduka, acha uzwazwaMwendo wa kanzu tu. Kweli mazuzu ni mazuzu tu. Watu wanaiga mavazi ya kiarabu bila kujua hata maana yake.
Sasa kama umekiri kuwa kanzu ni kama mavazi mengine, pm kafanya kosa gani hapo?, kwa kuvaa kwake hvo taifa limepungukiwa nini? Ulitaka avaaje?Uko nchi gani wewe? Tanzania ina asili ya jamii nyingi na kila jamii ina mavazi yake. Hata ukipenda kuvaa kanzu (kama watu wa Pwani) ni sawa. Ulimbukeni ninaoona mimi ni watu kuvaa kaznu kwa sababu tu aliyefiwa ni ''chogo mwislam''. Mbona Lowassa walipofariki hawakuvaa kimasai walipoenda huko? Unafiki na ulimbukeni tu.