PostGE2025 Waziri Mkuu, Mwigulu: Kumwaga damu isiyo na hatia siyo baraka, tuiunge mkono Tume

PostGE2025 Waziri Mkuu, Mwigulu: Kumwaga damu isiyo na hatia siyo baraka, tuiunge mkono Tume

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Akizungumza katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 25, 2025, Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema baada ya uchaguzi kulitokea msukosuko uliohusisha kupoteza maisha ya Watanzania hata ambao hawakushiriki.

Soma zaidi: Waziri Mkuu: Tanzania haitaendeshwa kwa 'Remote', Magari 1642, vituo vya mafuta 672, bodaboda 2268 vilichomwa moto

"Kwenye imani yangu kumwaga damu ya mtu mmoja asiye na hatia sio Baraka katika ardhi husika tunatoa pole kwa familia ambazo zimekutwa na madhira haya … ombi langu sote na kila mmoja kwenye dhamira yake tunuie jambo la aina hii tusiruhusu lijirudie tena kwenye nchi yetu sio Baraka"

 
..hiyo kauli ilipaswa itolewe na RAISI tena muda mfupi baada ya mauaji kutokea.
 
Anajaribu kuigiza sauti ya upole na huruma kumbe mnafiki tu. Hawataki kuzungumzia sababu ya tatizo ila wanaona matokeo tu.
Wasipokubali sababu za haya yote haitosaidia kitu
 
Akizungumza katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 25, 2025, Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema baada ya uchaguzi kulitokea msukosuko uliohusisha kupoteza maisha ya Watanzania hata ambao hawakushiriki

"Kwenye imani yangu kumwaga damu ya mtu mmoja asiye na hatia sio Baraka katika ardhi husika tunatoa pole kwa familia ambazo zimekutwa na madhira haya … ombi langu sote na kila mmoja kwenye dhamira yake tunuie jambo la aina hii tusiruhusu lijirudie tena kwenye nchi yetu sio Baraka"

Hata kusema maandamano hawezi misuko suko ni nini?
 
Kenge wa kijani mpk wawe wekundu kwa damu walizomwaga mbwa hawa
 
Back
Top Bottom