Hivi wewe ulikuwepo kwenye hizo vurugu au tayari ulikuwa umeshakimbia nchi. Upo Kenya au?Mwambie mwigulu izo stori za zilipendwa akawahadithie watoto wake Iramba huko.
Watanganyika hatuendeshwi na propaganda mfu sasahivi.
Wanacho kosea hawa kenge ni kujifanya hawajui chanzo cha tatizo, inamaana wanao teka na kuua nao wapo nje ya nchi. Tendeni haki muone kama nchi haitatuliaWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.