PostGE2025 Waziri mkuu Mwigulu: Wanaotaka mchome nchi yenu hawapo hapa wapo nje

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Kwan kuna wazir mkuu mwingine?
 
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Wanataka Tu chome nchi yetu, sio waliopo nje Bali mafisudi wakisaidiwa na waziri Mkuu wa sasa
 
Hafanyi Biashara lakini anauwezo kusomesha mamia ya Ndugu na wananchi. Jambo jema. Kumbe wanaotwambia mshahara wa Serikali hautoshi wanatudanganya!!!
 
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Nani anatuonea wivu wewe acha propaganda zako. Wajibikeni kwa makosa mliotenda
 
Ila kina Mwigulu wanaokula rasilimali na maliasili za wadanganyika hawatuchomi raia?!
Tena wao ndio WABAYA ZAIDI, WANATUIBIA, WANATUTESA, WANATUTEKA, WANATUUWA KISA TUKIPAZA SAUTI!
HAMTUAMBII KITU, TUMECHOKA NANYI!
 
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
NImeandika nikafuta
Nikakumbuka hutuna uongozi
 
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Mwenyewe,aliwahi kutuambia tuamie Burundi, Kwaiyo hiyo hoja yake ni mfu,Mseveni kuikomboa Uganda alikuwa Tanzania,Kagame alikuwa Uganda, uwezi kufanya ukombozi huko ndani ya nchi,ebu ona hakina Polepole walichofanyiwa,walisema wakiwa ndani ya nchi,Lissu mpaka Sasahivi mwezi wa 4 yuko jela, hauwezi kufanya ukombozi huko ndani ya nchi hii kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom