antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Ndo tatizo la wizi wa kura, waziri mkuu bure kabisa
Walidanganywa na sis tuliko nje kuwa JWTZ wako pamoja nao kupindua serikali kumbe ni uongo then wakakiona cha moto. Sidhani kama hao Gen Z watatoka tena hiyo tarehe 9 kwa kudanganywa hivyo wamepata funzo.Kuna aliyeuwawa au kutekwa kabla na baada ya uchaguzi ambaye anaishi nje?
Wanaoumizwa na hawa ndanuli na ndio hawa wanaotoka kuandamana.
Pumbavu wewe, hivi mnafikiri mtaendelea kutudanganya. Subiri D9 jinga wewe waziri mkuu fakeWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Tulinde amani ili muendelee kuteka watu kwa uhuru sio?NAUNGA MKONO
Ila wanaoteka na wanaouwa watu hawastahili kiuwawaJambazi anayevamia maduka na mali za watu lazima kuuwawa mbona vibaka tunawachoma na matairi kwanini hawa majambazi yasiuwawa mkuu?
Ni kweli hawapo hapa nchini lkn hoja zote ni za kweli, watanzania wanaangalia hoja na sio mtoa hoja anatokea wapi.WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Faki him. Kwanini hawataki kujibu maswali ya msingi? Kwanini Watanzania wanaoikosoa Serikali wanatekwa na kuuawa/kupotezwa? Kwanini chaguzi zetu hazikidhi viwango vya chaguzi za kidemokrasia? Kwanini raslimali zetu zinanufaisha zaidi kikundi kidogo tu cha watu?WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Sogea Sarit hapoWestland, Nairobi, Kenya nitakuja hapo one day.
Lengo siyo kuchoma moto vitu ni kuwachoma moto nyinyi mafisadi na wauaji wote .WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Hawachomi nchi wanachoma yadi yakoWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.