Jambazi anayevamia maduka na mali za watu lazima kuuwawa mbona vibaka tunawachoma na matairi kwanini hawa majambazi yasiuwawa mkuu?Naunga mkono haja sasa kwanini serikali iliamaua kuwauwa watu wake walioshawishiwa tu badadla ya kuwamenej kwa utaratibu na kuwapa elimu
Muwe mnaambiana huko makuma nyie kwamba serikali na vikundi vyenu vya kuteka na kuua raia ndio chanzo cha hii migogoro wala msijifanye hamjui chanzo na kuanza kuokoteza wakuwasingiziaHivi wewe ulikuwepo kwenye hizo vurugu au tayari ulikuwa umeshakimbia nchi. Upo Kenya au?
Walio uawa majumbani kwao walivunja duka la nani? Mtavuna mnacho kipanda endeleeni kujifanya hamkijui chanzo cha tatizoJambazi anayevamia maduka na mali za watu lazima kuuwawa mbona vibaka tunawachoma na matairi kwanini hawa majambazi yasiuwawa mkuu?
Shithole comment!!Muwe mnaambiana huko makuma nyie kwamba serikali na vikundi vyenu vya kuteka na kuua raia ndio chanzo cha hii migogoro wala msijifanye hamjui chanzo na kuanza kuokoteza wakuwasingizia
Kwani hujui kwenye vurugu huwa wanakufa hata ambao hawahusiki? Gaza wamekufa watoto na wanawake kwani walikuwa wanahusika na hiyo vita? Think before you comment Bro!Walio uawa majumbani kwao walivunja duka la nani? Mtavuna mnacho kipanda endeleeni kujifanya hamkijui chanzo cha tatizo
Hii kauli siyo mpya hapa.mjiniWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Braza shkamoo!Kwani hujui kwenye vurugu huwa wanakufa hata ambao hawahusiki? Gaza wamekufa watoto na wanawake kwani walikuwa wanahusika na hiyo vita? Think before you comment Bro!
Ni jambo jema kuuwa majambazi serikali ishtakiwe kwa kuua watoto na wale waliooneka kuuwawa wazi wazi wakiwa hawapo maeneo ya kuiba, na wawarudishie miili familia za hao majambazi, nasikitika kuona nchi yangu inashindwa kusimamia usalama hadi majambazi yanakuwa mengi nchi hiiJambazi anayevamia maduka na mali za watu lazima kuuwawa mbona vibaka tunawachoma na matairi kwanini hawa majambazi yasiuwawa mkuu?
Mwigulu umefilisika kisiasi, viongozi wa Tanzania mjifunze kusoma alama za nyakatiWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba, amewasihi watanzania kulinda nchi yao kwa kudumisha amani, na kusisitiza kuwa wengi wanaochochea haya mambo hawaishi nchini wapo kwenye mataifa mengine. Ameyasema hayo leo Novemba 21,2025 alipokuwa ziarani mkoani Singida.
Wakitenda HAKI Madaraka yao yanapeperuka!Wanacho kosea hawa kenge ni kujifanya hawajui chanzo cha tatizo, inamaana wanao teka na kuua nao wapo nje ya nchi. Tendeni haki muone kama nchi haitatulia
Niko Westland hapa karibu. Ila una sura mbaya ungetokea kwenye maandamano lazima Polisi wangekupiga risasi unaonekana kama Jambazi 🤣🤣 I am just joking Bro.Braza shkamoo!
Leo uko wapi?
Westland ya wapi? Unakuja lini chuga!Niko Westland hapa karibu. Ila una sura mbaya ungetokea kwenye maandamano lazima Polisi wangekupiga risasi unaonekana kama Jambazi 🤣🤣 I am just joking Bro.
Westland, Nairobi, Kenya nitakuja hapo one day.Westland ya wapi? Unakuja lini chuga!
Ungejua nilivyo handsome! Au basi!