Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

sasa mbona nguvu nyingi saana kuzielezea hizo what you call Legacy? Hizo huwa zipo tu na watanzania wanaziona!! Legacy hazihubiliwi kama neno la Mungu kila Jpili.
Kwani wanatumia nguvu kubwa kumhubiri Mungu kwa kuwa hayupo?
 
Wanampendeaje haki Jiwe?MATAGA acheni kuepa hoja za CAG na kuingiza mambo ambayo hayapo kwenye mijadala ya bunge!
 
Wanaomtukana Magufuli ni wliotumbuliwa,mafisadi na wenye vyeti feki
Huwezi kuona mama ntilie,machinga au boda boda anamtukana Magufuli
CCM na Samia sio wajinga,hawawezi kuachana na kazi za Magufuli 2025 sio mbali,ni chadema hawa hawa watakuwa upande wa Magufuli
 
Wanaomtukana Magufuli ni wliotumbuliwa,mafisadi na wenye vyeti feki
Huwezi kuona mama ntilie,machinga au boda boda anamtukana Magufuli
Hoja mufilisi.Jiwe hajatumbua fisadi yeyote zaidi ya kulipiza kisasi kwa mahasimu wake wa kisiasa na kudhulumu fedha za wavuja jasho,hao uliowabatiza wenye vyeti fake.Ukitaka kuamini maneno yangu,Rejea Ripoti za CAG,Jiwe ananuka ufisadi wa kutupwa!
 
Uchumi wa kati upi? Mbona biashara zinaanguka, pesa hakuna, ajira hakuna na mtaani watu wanalalamika kuhusu maisha kuwa magumu katika miaka mitano ya magufuli? Uchumi wa kati FAKE!
Huyo unayemuona mwizi ametufikisha uchumi wa kati. Huyo Mbowe wako chama kinamfia. Chama kinaongozwa na tapeli unategemea nini!
 
Hoja mufilisi.Jiwe hajatumbua fisadi yeyote zaidi ya kulipiza kisasi kwa mahasimu wake wa kisiasa na kudhulumu fedha za wavuja jasho,hao uliowabatiza wenye vyeti fake.Ukitaka kuamini maneno yangu,Rejea Ripoti za CAG,Jiwe ananuka ufisadi wa kutupwa!
madai ya jumla haya,hakuna sehemu CAG amesema Magufuli kaiba,ndio maana unaona kigwangala anahangaika mara asome albadiri mara aseme anamuachia mungu
Chuki yenu kwa Magufuli haitaondoa alama alioacha,mnachofanya ni kujifariji baada ya miezi mitatu mtaacha makombora mtakua hamna jipya
 
Kila mtu anajua kama Jiwe ni mpigaji ndio maana alimnyamazisha Prof.Assad na huyu aliyemleta akaMLimit,mpaka alipofariki ndio akaanza kujikakamua.Ukiona mtu anaogopa polisi ujue ni muhalifu.Kwanini Jiwe aliogopa kukaguliwa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mzee hayupo ila legacy yake ndiyo tunayotetetea kama ilivyo kwa Nyerere ili wale wapiga dili wasiipindishe
Hakuna legacy ya rais yoyote iliwahi kutetewa,legacy inajitetea yenyewe wala hailazimishwi,aliyoyafanya Nyerere ni tofauti na aliyokuja kuyafanya Mwinyi,aliyoyafanya Mwinyi ni tofauti na aliyoyafanya Mkapa,aliyoyafanya Mkapa ni tofauti na aliyoyafanya JK,Aliyoyafanya JK ni tofauti na aliyoyafanya JPM na hakuna popote alishinikizwa Rais yoyote afuate ya mtangulizi wake,kwahiyo lazima akili zenu zitambue kwamba hii ni awamu ya 6 na rais wa sita anahitaji kuacha legacy yake bila kushinikizwa na mtu awayeyote na utaratibu ule wa kumuachia amalizie kipindi chake cha pili uendelee ni ikiwezekana tumuongezee muda na akikataa alazimishwe!.
 
Uchumi wa kati upi? Mbona biashara zinaanguka, pesa hakuna, ajira hakuna na mtaani watu wanalalamika kuhusu maisha kuwa magumu katika miaka mitano ya magufuli? Uchumi wa kati FAKE!
Huo u-fake ni maoni yako binafsi na tunayaheshimu.

Official data, zinazokubalika duniani kote, zinathibitisha Tanzania ni Nchi ya uchumi wa kati kwa vigezo vilivyopo.

Tunafuata facts, siyo opinions za tapeli Mbowe, malaya Lissu na wafuasi wao mandazi.
 
😂😂😂😂😂😂😂 endelea kuamini ujinga na hizo namba za kupikwa siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwamba magufuli alikuwa janga kubwa la Taifa hakustahili kuingia Ikulu hata kwa sekunde moja.
Huo u-fake ni maoni yako binafsi na tunayaheshimu.

Official data, zinazokubalika duniani kote, zinathibitisha Tanzania ni Nchi ya uchumi wa kati kwa vigezo vilivyopo.

Tunafuata facts, siyo opinions za tapeli za Mbowe, malaya Lissu na wafuasi wao mandazi.
 
Mkuu nimeupenda huu msamiati wako. Naomba niongezee kidogo.

“Legacy hazijengwi kwa dhuluma na udhalimu.”
~ Odhiambo Cairo
Haki ?!. Kumtumbua mtu amefanya kazi miaka 30 na amebakiza miezi kustaafu !!. Ni mfumo gani uliomuingiza kazini ?!

Legacy hazijengwi kwa dhulma

Odhis *
 
😂😂😂😂😂😂😂 endelea kuamini ujinga na hizo namba za kupikwa siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwamba magufuli alikuwa janga kubwa la Taifa hakustahili kuingia Ikulu hata kwa sekunde moja.
Hakuna tapeli Tanzania hii kama Mbowe.
 
Mkuu nimeupenda huu msamiati wako. Naomba niongezee kidogo.

“Legacy hazijengwi kwa dhuluma na udhalimu.”
~ Odhiambo Cairo
Nipenda kauli ya Makamba Jr Leo bungeni . Hawa kina uvccm hawajielewi

Odhis *
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Unadhani kwanini magufuli alikimbilia bunge DHAIFU ili kupitisha sheria ya kidikteta kwamba asishtakiwe kwa maovu yake akiwa madarakani!?
Jibu kwa sababu alijua anatenda maovu usiku na mchana kinyume na sheria na taratibu za Nchi.
Hakuna tapeli Tanzania hii kama Mbowe.
 
Unadhani kwanini magufuli alikimbilia bunge DHAIFU ili kupitisha sheria ya kidikteta kwamba asishtakiwe kwa maovu yake akiwa madarakani!?
Jibu kwa sababu alijua anatenda maovu usiku na mchana kinyume na sheria na taratibu za Nchi.
Bunge haliwi dhaifu kwa kugoma kutimiza matakwa ya matapeli na madalali wa AstraZeneca.

Marais karibia wote duniani hawashitakiwi kwa "makosa" wanayoyatenda wakiwa madarakani. Hii sheria ipo hata kwa hao mabwana wenu.

Kamuulize shoga yenu wa Ubelgiji atawaambia.
 
Wewe ni moja kati ya wanaowaharibia wasukuma humu. Tumeona Rais Brazil akishtakiwa tena akiwa madarakani , France, South Africa, Kenya katiba inaruhusu nk nk .

Sema katiba yetu ni mbovu tena mbaya kabisa. Imemfanya Rais mungumutu

Odhis *
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom