Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

Acha ujinga wewe! Mzalendo hadharau taratibu na sheria za nchi, hadharau katiba, bunge na mahakama, haminyi uhuru wa kikatiba wa raia na vyombo vya habari, hajichotei trillions za walipa kodi hazina kiholela, hafanyi miradi ambayo si kipaumbele cha Watanzania, hatishi raia wala kuwabambikia kesi fake na kuwapora pesa zao benki. Magufuli alikuwa mwizi na dhalimu mkubwa.

Dawa ya vibaraka Lissu na Mbowe ni Mzalendo Magufuli na Magufulism.
 
Hakuwa na lolote zaidi ya misifa. Mungu ni fundi. Kawategulia waTz kitendawili

Odhis *
Mugufulism shall prevail.
Huo utengano mbona umeshatokea? Labda kama unaamini katika mizimu.

Ilani ya chama tawala, katiba na sheria za nchi ndio msingi wa maendeleo ya nchi. Nchi haimtegemei Tz. JPM pia aliongozwa na sera za ccm. SASHA naye anaendeleza kazi ya kukamilisha ilani ya ccm.
Magufulism's prevailing.
 
Kwa wenye ufinyu wa akili kama wewe. Hao Watanzania chungu nzima waliouawa, kudhulumiwa na kufanyiwa udhalimu mbali mbali na magufuli walikuwa na uhusiano gani na Mbowe na Lissu? Lissu na Mbowe hawajawahi kufanya kosa lolote lile vinginevyo magufuli angeshawafunga siku nyingi sana. Wapumbavu kama wewe ni hatari kubwa sana nchini.
Dawa ya vibaraka Lissu na Mbowe ni Mzalendo Magufuli na Magufulism.
 
Wewe ni moja kati ya wanaowaharibia wasukuma humu. Tumeona Rais Brazil akishtakiwa tena akiwa madarakani , France, South Africa, Kenya katiba inaruhusu nk nk .

Sema katiba yetu ni mbovu tena mbaya kabisa. Imemfanya Rais mungumutu

Odhis *
Huyo jamaa tumeamua kumpuuza [emoji706],usipoteze nguvu kwa huyo mataga mkuu
 
Kwa wenye ufinyu wa akili kama wewe. Hao Watanzania chungu nzima waliouawa, kudhulumiwa na kufanyiwa udhalimu mbali mbali na magufuli walikuwa na uhusiano gani na Mbowe na Lissu? Lissu na Mbowe hawajawahi kufanya kosa lolote lile vinginevyo magufuli angeshawafunga siku nyingi sana. Wapumbavu kama wewe ni hatari kubwa sana nchini.
Lissu, Mbowe na nyie walamba miguu wao mnatumika kuhujumu nchi, kibaraka wewe.
 
Kweli wewe ZWAZWA! Hebu tuwekee huo ushahidi wa wao kuhujumu uchumi na utwambie sababu ya dhalimu magufuli kushindwa kuwapandisha kizimbani.
Lissu na Mbowe wanatumika kuhujumi nchi, kibaraka wewe.
 
Hauwezi kutengenasha maendeleo ya Tanzania na Magufuli. Hauwezi.
Yeye kaja kayakuta maendeleo magu ni kiongozi mbinafsi kuliko wote japo kuna mazuri yake na mabaya yake kama mwanadamu mwingine
 
Kweli wewe ZWAZWA! Hebu tuwekee huo ushahidi wa wao kuhujumu uchumi na utwambie sababu ya dhalimu magufuli kushindwa kuwapandisha kizimbani.
Hakuna ushahidi wowote uliotuwekea wa yote uliyoyatuhumu wewe kilaza.
 
Siyo mimi bali ripoti ya CAG ilisema hivyo kuhusu dhalimu magufuli kupora nyumba za Serikali, kufisadi bilioni 8 kununua kivuko FAKE kisha kuwapa JWTZ na kupiga marufuku kujadili wizi huo eti kwa kuwa MV Dar FAKE ni mali ya jeshi, kupora 1.5 trillions hazina during the fiscal year 2016/2017 kisha kuzuia uchunguzi huru, kupora 1.2 trillions hazina during the fiscal fiscal year 2017/2018 na kuzuia uchunguzi huru, kupora zaidi ya 3 trillions hazina ili kununua ndege kisha kumzuia CAG kukagua kama kweli pesa yote hiyo ilitumika kununua ndege. Mwizi haachi asili. Magufuli wizi aliuanza tangu awamu ya tatu na kuendelea nao hadi awamu ya tano. Mwenyezi Mungu katunusuru Watanzania na maovu ya kutisha.
Hakuna ushahidi wowote uliotuwekea wa yote uliyoyatuhumu wewe kilaza.
 
anayejaribu kuifuta legecy ya Magufuli atashukiwa kama mwewe wa Ngorongoro
 
Tanzania shall prevail... asante kwa elimu. Nina elimu ya juu sana ila ndo hivyo ze ze ni nyingi, tuvumilane mwalimu.
We use "shall" in obligatory contexts. Next time be sure of what you assert beforehand.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa tapeli Mbowe mbona hajapandishwa kizimbani kwa utapeli wake? Tatizo ni lipi? Magufuli alikuwa mwizi, dhalimu wa kutisha na dhulmat wa kutisha pia. Ni wanafiki tu kama wewe ndiyo ambao wanaukimbia ukweli husika.
View attachment 1751795
Magufuli was a killer and undisputed dictator to hell afie mbele
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom