Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

Acha kuandika ujinga hivi CAG Assad aliposema Bunge ni DHAIFU kulikuwa na AstraZeneca duniani? Mbona unaandika ujinga kiasi hiki?
Sasa kama Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hawakukimbilia Bungeni ili kuweka sheria hiyo ya kidikteta unadhani magufuli kilichomkimbiza bungeni ili kuwe na hiyo sheria ya kidikteta ni kipi? Rais hayuko juu ya sheria na akikiuka sheria za nchi kwa kufanya mauaji, wizi etc anastahili kabisa kupandishwa kizimbani.

Bunge haliwi dhaifu kwa kugoma kutimiza matakwa ya matapeli na madalali wa AstraZeneca.

Marais karibia wote duniani hawashitakiwi kwa "makosa" wanayoyatenda wakiwa madarakani. Hii sheria ipo hata kwa hao mabwana wenu.

Kamuulize shoga yenu wa Ubelgiji atawaambia.
 
Jana Bungeni Waziri Mkuu alibainisha wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaenzi ‘legacy’ ya Magufuli. Alitaja mambo kadhaa kama vile kupinga rushwa; kuwajali wanyonge; na miradi ya kimkakati.

Waziri wa Fedha pia alikemea wanaomrushia ‘mishale’ Hayati. Pia wabunge wengine kama Lusinde waliongea kwa hisia kupinga kauli za kumshambulia Hayati Magufuli na wabunge karibu wote walipongeza kwa makofi kauli hizo.

Japo kama alivyosema Makamba sio kosa kumkosoa Magufuli lakini sio vema pia kutumia chuki dhidi yake kumshambulia kwa hoja ambazo zina lengo la kumchafua badala ya kujenga.

Niseme kutoka moyoni kuwa kauli ya Majaliwa imewapa na itawapa faraja watanzania wengi sana. Sasa tunajua kuwa serikali mpya iko serious inaposema “Kazi iendelee”.

Na ieleweke kuwa supporters wa Magufuli hatusemi asikoselewe au Mama Samia asisonge mbele bali tunaomba mazuri yake mengi yafanyiwe kazi; heshima na uhuru wetu wa kisiasa na kiuchumi viheshimiwe na vilindwe; raslimali zetu zitunzwe na zitumiwe kwa manufaa ya wananchi, n.k. Kumbukeni vilio vya watu barabarani kwa ajili ya Magufuli na iwakumbushe kuwa watanzania wanahitaji mtetezi. Bado wana imani na serikali ya Mama Samia.
Hiyo legacy kwio ambayo inalindwa kwa vitisho ??
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wewe ni moja kati ya wanaowaharibia wasukuma humu. Tumeona Rais Brazil akishtakiwa tena akiwa madarakani , France, South Africa, Kenya katiba inaruhusu nk nk .

Sema katiba yetu ni mbovu tena mbaya kabisa. Imemfanya Rais mungumutu

Odhis *
Una uelewa mdogo sana wewe mfuasi wa beberu. Nikikuambia "Marais karibia wote" wewe unaelewa "Marais wote"!!? Shida akili zako umeshikiwa na DJ Zero. Tumia akili.
 
Acha kuandika ujinga hivi CAG Assad aliposema Bunge ni DHAIFU kulikuwa na AstraZeneca duniani? Mbona unaandika ujinga kiasi hiki?
Sasa kama Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hawakukimbilia Bungeni ili kuweka sheria hiyo ya kidikteta unadhani magufuli kilichomkimbiza bungeni ili kuwe na hiyo sheria ya kidikteta ni kipi? Rais hayuko juu ya sheria na akikiuka sheria za nchi kwa kufanya mauaji, wizi etc anastahili kabisa kupandishwa kizimbani.
Shida umemkabidhi dalali wa AstraZeneca akushikie akili.

Mahitaji yetu na muktadha wa kuongoza nchi miaka ya '70 unataka ulinganishe na miaka ya '90, '00, '10 au '20s kweli!!?

Tumia akili yako basi walau. Unatia huruma unajua.
 
Kwa hiyo kwa akili yako finyu kuongoza Nchi kwa miaka ya sasa ni kufanya dhuluma, udhalimu, mauaji, kuwabambikia watu kesi fake, kuwapora Watanzania pesa zao kwenye bank accounts, kudharau Bunge, kudharau mahakama, kutukana na kudhalilisha Watanzania, kuminya uhuru wa raia na vyombo vya habari. Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania.
Shida umemkabidhi dalali wa AstraZeneca akushikie akili.

Mahitaji yetu na muktadha wa kuongoza nchi miaka ya '70 unataka ulinganishe na miaka ya '90, '00, '10 au '20s kweli!!?

Tumia akili yako basi walau. Unatia huruma unajua.
 
Una uelewa mdogo sana wewe mfuasi wa beberu. Nikikuambia "Marais karibia wote" wewe unaelewa "Marais wote"!!? Shida akili zako umeshikiwa na DJ Zero. Tumia akili.
Nimekutolea mfano wa nchi na Marais waliowahi kushtakiwa tena wakiwa madarakani . Lakini huelewi . Siyo personal, tatizo Tanzania inauchukulia u Rais kama u mungu fulani.

Odhis *
 
Nimekutolea mfano wa nchi na Marais waliowahi kushtakiwa tena wakiwa madarakani . Lakini huelewi . Siyo personal, tatizo Tanzania inauchukulia u Rais kama u mungu fulani.

Odhis *
Wao imewapendeza kufanya hivyo, siyo lazima na sisi tukopi.
 
Kwa hiyo kwa akili yako finyu kuongoza Nchi kwa miaka ya sasa ni kufanya dhuluma, udhalimu, mauaji, kuwabambikia watu kesi fake, kuwapora Watanzania pesa zao kwenye bank accounts, kudharau Bunge, kudharau mahakama, kutukana na kudhalilisha Watanzania, kuminya uhuru wa raia na vyombo vya habari. Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania.
Mahitaji yetu ya sasa ni kuendeleza utoaji huduma wa ATCL, SGR, JNHP, Stiegler's Gorge, Daraja la Busisi, na miradi yote aliyoanzisha Magufuli. Pia waweke miradi mingine ya kimkakati kuufikia Ulimwengu wa kwanza.
 
Ndoto za kusadikika. Serikali hii dhalimu imeshindwa kuongeza ajira nchini, imeshindwa kuongeza mishahara ya Wafanyakazi kwa miaka sita sasa, imeshindwa kuongeza pato la Mtanzania kwa miaka sita sasa, ATCL ndani ya miaka mitano hasara ni bilioni 154 halafu unaandika alinacha zako zisizo na kichwa wala miguu!!!!

Legacy ya magufuli imejaa damu, udhalimu na dhuluma za kutisha dhidi ya Watanzania wasio na hatia. Hawawezi kuendelea na uongo wao kuhusu legacy hiyo huku kukiwa na ushahidi chungu nzima wa udhalimu na dhuluma zake za kutisha tangu 2016.

Ni wivu tu.

Kuna mtu kasema mauwaji ya endelea?

Tutaendelea kumkumbuka na kuyaenzi Mazuri hayati JPM.
 
Ndoto za kusadikika. Serikali hii dhalimu imeshindwa kuongeza ajira nchini, imeshindwa kuongeza mishahara ya Wafanyakazi kwa miaka sita sasa, imeshindwa kuongeza pato la Mtanzania kwa miaka sita sasa, ATCL ndani ya miaka mitano hasara ni bilioni 154 halafu unaandika alinacha zako zisizo na kichwa wala miguu!!!!
Serikali ya Mzalendo namba moja na shujaa wa Afrika imeiletea heshima Tanzania. Imewadhibiti mabeberu na vibaraka wao akina Lissu, Mbowe, na nyie wengine wote.
 
Acha ujinga wewe! Mzalendo hadharau taratibu na sheria za nchi, hadharau katiba, bunge na mahakama, haminyi uhuru wa kikatiba wa raia na vyombo vya habari, hajichotei trillions za walipa kodi hazina kiholela, hafanyi miradi ambayo si kipaumbele cha Watanzania, hatishi raia wala kuwabambikia kesi fake na kuwapora pesa zao benki. Magufuli alikuwa mwizi na dhalimu mkubwa.
Serikali ya Mzalendo namba moja na shujaa wa Afrika imeiletea heshima Tanzania. Imewadhibiti mabeberu na vibaraka wao akina Lissu, Mbowe, na nyie wengine wote.
 
Serikali ya Mzalendo namba moja na shujaa wa Afrika imeiletea heshima Tanzania. Imewadhibiti mabeberu na vibaraka wao akina Lissu, Mbowe, na nyie wengine wote.
Hakuwa na lolote zaidi ya misifa. Mungu ni fundi. Kawategulia waTz kitendawili

Odhis *
 
Hauwezi kutengenasha maendeleo ya Tanzania na Magufuli. Hauwezi.
Huo utengano mbona umeshatokea? Labda kama unaamini katika mizimu.

Ilani ya chama tawala, katiba na sheria za nchi ndio msingi wa maendeleo ya nchi. Nchi haimtegemei Tz. JPM pia aliongozwa na sera za ccm. SASHA naye anaendeleza kazi ya kukamilisha ilani ya ccm.
 
Maendeleo yepi? Ya kununua ndege bila idhini ya Bunge kwa zaidi ya trillion 3 ndege ambazo kwa miaka mitano zimeiingiza hasara ya 154 billions? Maendeleo ya Wafanyakazi kutokuwa na nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano? Maendeleo ya Wafanyabishara kuikimbia nchi kwa kubambikiwa kodi kubwa sana na kesi kisha kuporwa pesa zao chungu nzima kwenye bank accounts zao!?
Unajua neno maendeleo na maana yake halisi au umeamua KUKURUPUKA TU!? [emoji15]
Hawa mataga kama bado wanampenda sana jiwe waende wakapumzike nae
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom