Kwani wanatumia nguvu kubwa kumhubiri Mungu kwa kuwa hayupo?sasa mbona nguvu nyingi saana kuzielezea hizo what you call Legacy? Hizo huwa zipo tu na watanzania wanaziona!! Legacy hazihubiliwi kama neno la Mungu kila Jpili.
Nyerere alitangulia mbele za haki 99 huko, mpaka wa leo yupo midomoni na akilini mwa watu, it's you who needs to get used to this.Mnapswa kuamini kuwa mzee Magufuli hayupo tena katika ulimwengu huu. Just move on
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Ama kweli Lisu amekuwa akitembea na akili za wajinga wengi mfukoni kwakeMnapswa kuamini kuwa mzee Magufuli hayupo tena katika ulimwengu huu. Just move on
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Hoja mufilisi.Jiwe hajatumbua fisadi yeyote zaidi ya kulipiza kisasi kwa mahasimu wake wa kisiasa na kudhulumu fedha za wavuja jasho,hao uliowabatiza wenye vyeti fake.Ukitaka kuamini maneno yangu,Rejea Ripoti za CAG,Jiwe ananuka ufisadi wa kutupwa!Wanaomtukana Magufuli ni wliotumbuliwa,mafisadi na wenye vyeti feki
Huwezi kuona mama ntilie,machinga au boda boda anamtukana Magufuli
Huyo unayemuona mwizi ametufikisha uchumi wa kati. Huyo Mbowe wako chama kinamfia. Chama kinaongozwa na tapeli unategemea nini!
madai ya jumla haya,hakuna sehemu CAG amesema Magufuli kaiba,ndio maana unaona kigwangala anahangaika mara asome albadiri mara aseme anamuachia munguHoja mufilisi.Jiwe hajatumbua fisadi yeyote zaidi ya kulipiza kisasi kwa mahasimu wake wa kisiasa na kudhulumu fedha za wavuja jasho,hao uliowabatiza wenye vyeti fake.Ukitaka kuamini maneno yangu,Rejea Ripoti za CAG,Jiwe ananuka ufisadi wa kutupwa!
Kila mtu anajua kama Jiwe ni mpigaji ndio maana alimnyamazisha Prof.Assad na huyu aliyemleta akaMLimit,mpaka alipofariki ndio akaanza kujikakamua.Ukiona mtu anaogopa polisi ujue ni muhalifu.Kwanini Jiwe aliogopa kukaguliwa?madai ya jumla haya,hakuna sehemu CAG amesema Magufuli kaiba,ndio maana unaona kigwangala anahangaika mara asome albadiri mara aseme anamuachia mungu
Chuki yenu kwa Magufuli haitaondoa alama alioacha,mnachofanya ni kujifariji baada ya miezi mitatu mtaacha makombora mtakua hamna jipya
Hakuna legacy ya rais yoyote iliwahi kutetewa,legacy inajitetea yenyewe wala hailazimishwi,aliyoyafanya Nyerere ni tofauti na aliyokuja kuyafanya Mwinyi,aliyoyafanya Mwinyi ni tofauti na aliyoyafanya Mkapa,aliyoyafanya Mkapa ni tofauti na aliyoyafanya JK,Aliyoyafanya JK ni tofauti na aliyoyafanya JPM na hakuna popote alishinikizwa Rais yoyote afuate ya mtangulizi wake,kwahiyo lazima akili zenu zitambue kwamba hii ni awamu ya 6 na rais wa sita anahitaji kuacha legacy yake bila kushinikizwa na mtu awayeyote na utaratibu ule wa kumuachia amalizie kipindi chake cha pili uendelee ni ikiwezekana tumuongezee muda na akikataa alazimishwe!.Mzee hayupo ila legacy yake ndiyo tunayotetetea kama ilivyo kwa Nyerere ili wale wapiga dili wasiipindishe
Huo u-fake ni maoni yako binafsi na tunayaheshimu.Uchumi wa kati upi? Mbona biashara zinaanguka, pesa hakuna, ajira hakuna na mtaani watu wanalalamika kuhusu maisha kuwa magumu katika miaka mitano ya magufuli? Uchumi wa kati FAKE!
Haki ?!. Kumtumbua mtu amefanya kazi miaka 30 na amebakiza miezi kustaafu !!. Ni mfumo gani uliomuingiza kazini ?!Wewe ulitumbuliwa nini? Hata waliotumbuliwa wenye maono wanajua alifanya haki kwa ajili ya wengi
Huo u-fake ni maoni yako binafsi na tunayaheshimu.
Official data, zinazokubalika duniani kote, zinathibitisha Tanzania ni Nchi ya uchumi wa kati kwa vigezo vilivyopo.
Tunafuata facts, siyo opinions za tapeli za Mbowe, malaya Lissu na wafuasi wao mandazi.
Haki ?!. Kumtumbua mtu amefanya kazi miaka 30 na amebakiza miezi kustaafu !!. Ni mfumo gani uliomuingiza kazini ?!
Legacy hazijengwi kwa dhulma
Odhis *
Hakuna tapeli Tanzania hii kama Mbowe.πππππππ endelea kuamini ujinga na hizo namba za kupikwa siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwamba magufuli alikuwa janga kubwa la Taifa hakustahili kuingia Ikulu hata kwa sekunde moja.
Nipenda kauli ya Makamba Jr Leo bungeni . Hawa kina uvccm hawajielewiMkuu nimeupenda huu msamiati wako. Naomba niongezee kidogo.
βLegacy hazijengwi kwa dhuluma na udhalimu.β
~ Odhiambo Cairo
Hakuna tapeli Tanzania hii kama Mbowe.
Mzee alikuwa na roho mbaya sanaHaki ?!. Kumtumbua mtu amefanya kazi miaka 30 na amebakiza miezi kustaafu !!. Ni mfumo gani uliomuingiza kazini ?!
Legacy hazijengwi kwa dhulma
Odhis *
Bunge haliwi dhaifu kwa kugoma kutimiza matakwa ya matapeli na madalali wa AstraZeneca.Unadhani kwanini magufuli alikimbilia bunge DHAIFU ili kupitisha sheria ya kidikteta kwamba asishtakiwe kwa maovu yake akiwa madarakani!?Kivuko MV Dar es Salaam: Je, ni udanganyifu, ufisadi au utapeli wa serikali ya CCM?
Naacha video na picha ziongee...! 2014...! Flashback...! Waziri wa Ujenzi Dr. John Pombe Magufuli akimuonesha mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mech Sadiki meli kubwa ya mizigo iliyobeba kivuko kipya cha MV Dar es Salaam iliyokuwa inakaribia kutia nanga Bandarini. Waziri wa...www.jamiiforums.com
Jibu kwa sababu alijua anatenda maovu usiku na mchana kinyume na sheria na taratibu za Nchi.
Wewe ni moja kati ya wanaowaharibia wasukuma humu. Tumeona Rais Brazil akishtakiwa tena akiwa madarakani , France, South Africa, Kenya katiba inaruhusu nk nk .Bunge haliwi dhaifu kwa kugoma kutimiza matakwa ya matapeli na madalali wa AstraZeneca.
Marais karibia wote duniani hawashitakiwi kwa "makosa" wanayoyatenda wakiwa madarakani. Hii sheria ipo hata kwa hao mabwana wenu.
Kamuulize shoga yenu wa Ubelgiji atawaambia.