Dawa ya vibaraka Lissu na Mbowe ni Mzalendo Magufuli na Magufulism.Acha ujinga wewe! Mzalendo hadharau taratibu na sheria za nchi, hadharau katiba, bunge na mahakama, haminyi uhuru wa kikatiba wa raia na vyombo vya habari, hajichotei trillions za walipa kodi hazina kiholela, hafanyi miradi ambayo si kipaumbele cha Watanzania, hatishi raia wala kuwabambikia kesi fake na kuwapora pesa zao benki. Magufuli alikuwa mwizi na dhalimu mkubwa.
Hahaha...Dulla wa the Heads of Tanzania?IQ yako tafadhali maana nahisi ni dulla
Mugufulism shall prevail.Hakuwa na lolote zaidi ya misifa. Mungu ni fundi. Kawategulia waTz kitendawili
Odhis *
Magufulism's prevailing.Huo utengano mbona umeshatokea? Labda kama unaamini katika mizimu.
Ilani ya chama tawala, katiba na sheria za nchi ndio msingi wa maendeleo ya nchi. Nchi haimtegemei Tz. JPM pia aliongozwa na sera za ccm. SASHA naye anaendeleza kazi ya kukamilisha ilani ya ccm.
Dawa ya vibaraka Lissu na Mbowe ni Mzalendo Magufuli na Magufulism.
Huyo jamaa tumeamua kumpuuza [emoji706],usipoteze nguvu kwa huyo mataga mkuuWewe ni moja kati ya wanaowaharibia wasukuma humu. Tumeona Rais Brazil akishtakiwa tena akiwa madarakani , France, South Africa, Kenya katiba inaruhusu nk nk .
Sema katiba yetu ni mbovu tena mbaya kabisa. Imemfanya Rais mungumutu
Odhis *
Tanzania will prevail.Mugufulism shall prevail.
Magufulism's prevailing.
"kucomments" ndiyo Lugha gani wewe kilaza?Umeshaambiwa jifunze kwanza kiswahili ndio uje kucomments hapa,tumeamua kukupuuza
Tanzania SHALL prevail... wewe kilaza.Tanzania will prevail.
Lissu, Mbowe na nyie walamba miguu wao mnatumika kuhujumu nchi, kibaraka wewe.Kwa wenye ufinyu wa akili kama wewe. Hao Watanzania chungu nzima waliouawa, kudhulumiwa na kufanyiwa udhalimu mbali mbali na magufuli walikuwa na uhusiano gani na Mbowe na Lissu? Lissu na Mbowe hawajawahi kufanya kosa lolote lile vinginevyo magufuli angeshawafunga siku nyingi sana. Wapumbavu kama wewe ni hatari kubwa sana nchini.
Lissu na Mbowe wanatumika kuhujumi nchi, kibaraka wewe.
Yeye kaja kayakuta maendeleo magu ni kiongozi mbinafsi kuliko wote japo kuna mazuri yake na mabaya yake kama mwanadamu mwingineHauwezi kutengenasha maendeleo ya Tanzania na Magufuli. Hauwezi.
Hakuna ushahidi wowote uliotuwekea wa yote uliyoyatuhumu wewe kilaza.Kweli wewe ZWAZWA! Hebu tuwekee huo ushahidi wa wao kuhujumu uchumi na utwambie sababu ya dhalimu magufuli kushindwa kuwapandisha kizimbani.
Tanzania shall prevail... asante kwa elimu. Nina elimu ya juu sana ila ndo hivyo ze ze ni nyingi, tuvumilane mwalimu.Tanzania SHALL prevail... wewe kilaza.
Hakuna ushahidi wowote uliotuwekea wa yote uliyoyatuhumu wewe kilaza.
We use "shall" in obligatory contexts. Next time be sure of what you assert beforehand.Tanzania shall prevail... asante kwa elimu. Nina elimu ya juu sana ila ndo hivyo ze ze ni nyingi, tuvumilane mwalimu.
Ofcozi.😆We use "shall" in obligatory contexts. Next time be sure of what you assert beforehand.
Magufuli was a killer and undisputed dictator to hell afie mbele🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa tapeli Mbowe mbona hajapandishwa kizimbani kwa utapeli wake? Tatizo ni lipi? Magufuli alikuwa mwizi, dhalimu wa kutisha na dhulmat wa kutisha pia. Ni wanafiki tu kama wewe ndiyo ambao wanaukimbia ukweli husika.
View attachment 1751795