Akina Mbowe ni matapeli. Na matapeli wote hawakuwa na nafasi kwenye taifa lililoongozwa na serikali ya Magufuli. By the way, it is official tupo kwenye uchumi wa kati. Thanks to our country's all time best president, His excellency Dr. JPM.
Ki-propaganda tumeshavuka uchumi wa kati, tupo uchumi wa juu. Ki-uhalisia uwezo wa uchumi wetu wa kutengeneza ajira rasmi umepungua. Uchumi wetu umeshindwa kuboresha maslahi ya watumishi wa umma nk. Tuko uchumi wa juu.