Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Pascal Mayalla kwa maneno haya madogo aliyoyaongea huyu ndugu, nadhani waziri ana jambo lakutueleza kama tukimuuliza hili swali....Wakati haya yanatokea alikuwa Waziri wa Fedha na anajua taratibu zote za kutuma pesa toka nje ya nchi.
Guys, mbona hajawahi kusema waliolipwa walilipwa kupitia mfumo upi wa malipo hata serikali ikashindwa kubaini hayo malipo?
Huyo ni katibu wa Uenezi wa chama siyo PMKila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA.
Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya mauaji ya watu, tena wakiwa majumbani mwao hapo tarehe 29 October, 2025, bwana Nchemba yeye yupo kwenye mipasho ya kuwajibu CDM? Kana kwamba ndiyo walioua watu, kumbe wauaji wanajulikana kwamba ni SAMIA na vyombo vyake vya dola. Tena yeye akikimbilia NGERENGERE kujificha na JAKAYA. Mulilo alikataliwa na kila mwenye hoteli akaenda kulala LUGALO JWTZ, tunafahamu.
Mfano katika hotuba yake moja, MWIGULU alisema asichokifahamu juu ya madai ya CDM ya kuahirishwa kwa uchaguzi; kwamba CDM walitaka muda wa serikali kukaa madarakani uishe ili waingie barabarani kwa maandamano, tena huku ameshika KATIBA. Huyu ni Waziri Mkuu wa namna gani asiyejua hata Katiba. AIBU.
Nimkumbushe Mwigulu kuwa CDM walipendekeza serikali iongezwe hata mwaka wa kukaa madarakani, yaani mwaka huu wote, ili marekebisho ya sheria za UCHAGUZI na KATIBA yafanyike ndipo uchaguzi uitishwe.
GUYS, GUYS, GUYS, haelewi hili au anapotosha makusudi?
Watu wanaotaka kuandamana kwa serikali kupitisha muda wanakuongezeaje mwaka mzima?
CDM walipendekeza hata kuongezwa kwa muda wa Bunge la BAJETI 2025/26. Japo ni gharama, lakini minimal reforms zifanywe.
GUYS, GUYS, GUYS, huyu PM alikuwa wapi wakati haya yanahubiriwa na HECHE na wenzake, tena wakiwa MAHAKAMANI baada ya kuzuiwa kufanya siasa kwa barua ya Msajili?
GUYS, GUYS.
Mwigulu anakwenda mbali kwa kuwauliza watu, ULIKUWEPO?
Yaani wananchi wasihoji juu ya mauaji ya ndugu zao kwa sababu HAWAKUWEPO? Sisi tulikuwepo. Wakati ndugu, rafiki na jamaa zetu wanauwawa. Mfano mimi nilikuwepo Salasala tu hapo wakati watu wanapigwa shaba wakiwa madukani.
GUYS, GUYS.
Mwigulu wewe hukuwepo kwa kuwa ulikuwa MASAKI na matajiri wenzio.
Mwigulu anasema kuna PESA zimeingizwa toka nje kuja kulipwa waandamanaji? Huyu ni PM wa namna gani anaongea mipasho bila uthibitisho?
GUYS?
Wakati haya yanatokea alikuwa Waziri wa Fedha na anajua taratibu zote za kutuma pesa toka nje ya nchi. Guys, mbona hajawahi kusema waliolipwa walilipwa kupitia mfumo upi wa malipo hata serikali ikashindwa kubaini hayo malipo?
Yaani pesa itumwe toka nje, iingie nchini, watu walipwe, wapangwe kuandamana, waandamane bila serikali kujua?
Sasa hapo kuna serikali au kuna kikundi cha wala rushwa?
GUYS?
Mwisho, washauri wake wamwambie PM siyo KATIBU MWENEZI wa CCM, ni wa Watanzania wote.
Aache kuropoka.
Anadhani kuongea na hadhira ni kukurupuka ili awafurahishe wajingawajinga.Kuongea na hadhira kiuweledi ni kipawa, timings na uchaguzi wa ujumbe unaoendana na wakati.Siyo kuongeaongea tu kama ameshiba supu ya punda.Tatizo IQ na EQ
Mwenzako anaamini anatuliza joto ili maisha yaende kama vile hakuna kilichotokeaKila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA.
Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya mauaji ya watu, tena wakiwa majumbani mwao hapo tarehe 29 October, 2025, bwana Nchemba yeye yupo kwenye mipasho ya kuwajibu CDM? Kana kwamba ndiyo walioua watu, kumbe wauaji wanajulikana kwamba ni SAMIA na vyombo vyake vya dola. Tena yeye akikimbilia NGERENGERE kujificha na JAKAYA. Mulilo alikataliwa na kila mwenye hoteli akaenda kulala LUGALO JWTZ, tunafahamu.
Mfano katika hotuba yake moja, MWIGULU alisema asichokifahamu juu ya madai ya CDM ya kuahirishwa kwa uchaguzi; kwamba CDM walitaka muda wa serikali kukaa madarakani uishe ili waingie barabarani kwa maandamano, tena huku ameshika KATIBA. Huyu ni Waziri Mkuu wa namna gani asiyejua hata Katiba. AIBU.
Nimkumbushe Mwigulu kuwa CDM walipendekeza serikali iongezwe hata mwaka wa kukaa madarakani, yaani mwaka huu wote, ili marekebisho ya sheria za UCHAGUZI na KATIBA yafanyike ndipo uchaguzi uitishwe.
GUYS, GUYS, GUYS, haelewi hili au anapotosha makusudi?
Watu wanaotaka kuandamana kwa serikali kupitisha muda wanakuongezeaje mwaka mzima?
CDM walipendekeza hata kuongezwa kwa muda wa Bunge la BAJETI 2025/26. Japo ni gharama, lakini minimal reforms zifanywe.
GUYS, GUYS, GUYS, huyu PM alikuwa wapi wakati haya yanahubiriwa na HECHE na wenzake, tena wakiwa MAHAKAMANI baada ya kuzuiwa kufanya siasa kwa barua ya Msajili?
GUYS, GUYS.
Mwigulu anakwenda mbali kwa kuwauliza watu, ULIKUWEPO?
Yaani wananchi wasihoji juu ya mauaji ya ndugu zao kwa sababu HAWAKUWEPO? Sisi tulikuwepo. Wakati ndugu, rafiki na jamaa zetu wanauwawa. Mfano mimi nilikuwepo Salasala tu hapo wakati watu wanapigwa shaba wakiwa madukani.
GUYS, GUYS.
Mwigulu wewe hukuwepo kwa kuwa ulikuwa MASAKI na matajiri wenzio.
Mwigulu anasema kuna PESA zimeingizwa toka nje kuja kulipwa waandamanaji? Huyu ni PM wa namna gani anaongea mipasho bila uthibitisho?
GUYS?
Wakati haya yanatokea alikuwa Waziri wa Fedha na anajua taratibu zote za kutuma pesa toka nje ya nchi. Guys, mbona hajawahi kusema waliolipwa walilipwa kupitia mfumo upi wa malipo hata serikali ikashindwa kubaini hayo malipo?
Yaani pesa itumwe toka nje, iingie nchini, watu walipwe, wapangwe kuandamana, waandamane bila serikali kujua?
Sasa hapo kuna serikali au kuna kikundi cha wala rushwa?
GUYS?
Mwisho, washauri wake wamwambie PM siyo KATIBU MWENEZI wa CCM, ni wa Watanzania wote.
Aache kuropoka.
Upo Sahihi kabisaa mkuuMwenzako anaamini anatuliza joto ili maisha yaende kama vile hakuna kilichotokea
Its true, naunga mkono hoja, ila nashauri tusiendelee kumsakama, hiki ni kichwa chetu cha Iliboru, hizi pumba anazomwaga ni za kisiasa tuu, ili kujipalilia njia yake ya kuelekea kileleni 2030, kikwazo kikubwa kwake ni yeye sio Mkatoliki,kumejengeka mazoea,akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki,hivyo kazi kubwa ya kwanza ni kupambana na Catholicism supremacy, ila as a president to be, yuko vizuri sana upstairs Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!Pascal Mayalla kwa maneno haya madogo aliyoyaongea huyu ndugu, nadhani waziri ana jambo lakutueleza kama tukimuuliza hili swali....
ni miongoni mwa best performer wa Department ya economics-FASS. lakini hii haimanishi kwamba anayoongea yupo sawasawa. alihitajika PM mwenye utulivu sana kwa kipindi hiki. mwenye uwezo wa kuchuja na kutafakari kabla ya kuzungumza ili kuwaleta watu pamoja japo ni ngumu kweliIts true, naunga mkono hoja, ila nashauri tusiendelee kumsakama, hiki ni kichwa chenu cha Iliboru, hihi pumba anazomwaga ni za kisisa tua, ili yuko vizuri sana upstairs.
Huyu ndiye the executive producer wa ili video ya ugaidi ya Rwakatare, On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012
P.
Angeyasema haya miaka ya 2000 ingesaidia kidogo,lakini Kwa sasa wasikilizaji watapiga makofi kumshangilia Kwa kumkejeli tu🫣🫣Mwenzako anaamini anatuliza joto ili maisha yaende kama vile hakuna kilichotokea
KweliAngeyasema haya miaka ya 2000 ingesaidia kidogo,lakini Kwa sasa wasikilizaji watapiga makofi kumshangilia Kwa kumkejeli tu🫣🫣
Dr. Mwigulu Nchemba Ana shida gholofaniKila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA.
Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya mauaji ya watu, tena wakiwa majumbani mwao hapo tarehe 29 October, 2025, bwana Nchemba yeye yupo kwenye mipasho ya kuwajibu CDM? Kana kwamba ndiyo walioua watu, kumbe wauaji wanajulikana kwamba ni SAMIA na vyombo vyake vya dola. Tena yeye akikimbilia NGERENGERE kujificha na JAKAYA. Mulilo alikataliwa na kila mwenye hoteli akaenda kulala LUGALO JWTZ, tunafahamu.
Mfano katika hotuba yake moja, MWIGULU alisema asichokifahamu juu ya madai ya CDM ya kuahirishwa kwa uchaguzi; kwamba CDM walitaka muda wa serikali kukaa madarakani uishe ili waingie barabarani kwa maandamano, tena huku ameshika KATIBA. Huyu ni Waziri Mkuu wa namna gani asiyejua hata Katiba. AIBU.
Nimkumbushe Mwigulu kuwa CDM walipendekeza serikali iongezwe hata mwaka wa kukaa madarakani, yaani mwaka huu wote, ili marekebisho ya sheria za UCHAGUZI na KATIBA yafanyike ndipo uchaguzi uitishwe.
GUYS, GUYS, GUYS, haelewi hili au anapotosha makusudi?
Watu wanaotaka kuandamana kwa serikali kupitisha muda wanakuongezeaje mwaka mzima?
CDM walipendekeza hata kuongezwa kwa muda wa Bunge la BAJETI 2025/26. Japo ni gharama, lakini minimal reforms zifanywe.
GUYS, GUYS, GUYS, huyu PM alikuwa wapi wakati haya yanahubiriwa na HECHE na wenzake, tena wakiwa MAHAKAMANI baada ya kuzuiwa kufanya siasa kwa barua ya Msajili?
GUYS, GUYS.
Mwigulu anakwenda mbali kwa kuwauliza watu, ULIKUWEPO?
Yaani wananchi wasihoji juu ya mauaji ya ndugu zao kwa sababu HAWAKUWEPO? Sisi tulikuwepo. Wakati ndugu, rafiki na jamaa zetu wanauwawa. Mfano mimi nilikuwepo Salasala tu hapo wakati watu wanapigwa shaba wakiwa madukani.
GUYS, GUYS.
Mwigulu wewe hukuwepo kwa kuwa ulikuwa MASAKI na matajiri wenzio.
Mwigulu anasema kuna PESA zimeingizwa toka nje kuja kulipwa waandamanaji? Huyu ni PM wa namna gani anaongea mipasho bila uthibitisho?
GUYS?
Wakati haya yanatokea alikuwa Waziri wa Fedha na anajua taratibu zote za kutuma pesa toka nje ya nchi. Guys, mbona hajawahi kusema waliolipwa walilipwa kupitia mfumo upi wa malipo hata serikali ikashindwa kubaini hayo malipo?
Yaani pesa itumwe toka nje, iingie nchini, watu walipwe, wapangwe kuandamana, waandamane bila serikali kujua?
Sasa hapo kuna serikali au kuna kikundi cha wala rushwa?
GUYS?
Mwisho, washauri wake wamwambie PM siyo KATIBU MWENEZI wa CCM, ni wa Watanzania wote.
Aache kuropoka.
jamaa anafanya siasa za kishamba sana lakini haishangazi kwamba ndiyo mpanga ikakati miovu hapo ccm haswa dhidi ya chadema hata hawa kina mchange, mwampamba, shonza, zitto na wengine ni mazao yake.Huyu ni tutusa
Nadhani bado anaugulia maumivu ya kuchomwa na kuchakazwa kwa mabasi ya kampuni yake ESTHER LUXURY COACH
Ana hasira na CHADEMA akidhani ndio wamemtenda hivyo wakati adui yake yumo huko huko ndani ya serikali na CCM yake!
He's fighting the wrong enemy..
Ishu sio IQ. Kwa yaliyotokea hata aletwe Nentanyahu naye ataonekana Zero brain tu. Kuna mambo ukijaribu kuyatetea au kuyafunikafunika lazima heshima yako iporomoke!PM wa sasa ni zero brain 100%
Huyu jamaa yako na yule Chalamila ni wasomi tu wa kukariri madesa. Ila ukiniambia wako vizuri upstairs, nitakuwa mtu wa mwisho kuamini.Its true, naunga mkono hoja, ila nashauri tusiendelee kumsakama, hiki ni kichwa chenu cha Iliboru, hihi pumba anazomwaga ni za kisisa tua, ili yuko vizuri sana upstairs.