Waziri Mkuu Nchemba, hazungumzi na watanzania, anazungumza na CHADEMA

Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA.

Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya mauaji ya watu, tena wakiwa majumbani mwao hapo tarehe 29 October, 2025, bwana Nchemba yeye yupo kwenye mipasho ya kuwajibu CDM? Kana kwamba ndiyo walioua watu, kumbe wauaji wanajulikana kwamba ni SAMIA na vyombo vyake vya dola. Tena yeye akikimbilia NGERENGERE kujificha na JAKAYA. Mulilo alikataliwa na kila mwenye hoteli akaenda kulala LUGALO JWTZ, tunafahamu.

Mfano katika hotuba yake moja, MWIGULU alisema asichokifahamu juu ya madai ya CDM ya kuahirishwa kwa uchaguzi; kwamba CDM walitaka muda wa serikali kukaa madarakani uishe ili waingie barabarani kwa maandamano, tena huku ameshika KATIBA. Huyu ni Waziri Mkuu wa namna gani asiyejua hata Katiba. AIBU.

Nimkumbushe Mwigulu kuwa CDM walipendekeza serikali iongezwe hata mwaka wa kukaa madarakani, yaani mwaka huu wote, ili marekebisho ya sheria za UCHAGUZI na KATIBA yafanyike ndipo uchaguzi uitishwe.
GUYS, GUYS, GUYS, haelewi hili au anapotosha makusudi?

Watu wanaotaka kuandamana kwa serikali kupitisha muda wanakuongezeaje mwaka mzima?

CDM walipendekeza hata kuongezwa kwa muda wa Bunge la BAJETI 2025/26. Japo ni gharama, lakini minimal reforms zifanywe.
GUYS, GUYS, GUYS, huyu PM alikuwa wapi wakati haya yanahubiriwa na HECHE na wenzake, tena wakiwa MAHAKAMANI baada ya kuzuiwa kufanya siasa kwa barua ya Msajili?
GUYS, GUYS.

Mwigulu anakwenda mbali kwa kuwauliza watu, ULIKUWEPO?
Yaani wananchi wasihoji juu ya mauaji ya ndugu zao kwa sababu HAWAKUWEPO? Sisi tulikuwepo. Wakati ndugu, rafiki na jamaa zetu wanauwawa. Mfano mimi nilikuwepo Salasala tu hapo wakati watu wanapigwa shaba wakiwa madukani.
GUYS, GUYS.

Mwigulu wewe hukuwepo kwa kuwa ulikuwa MASAKI na matajiri wenzio.

Mwigulu anasema kuna PESA zimeingizwa toka nje kuja kulipwa waandamanaji? Huyu ni PM wa namna gani anaongea mipasho bila uthibitisho?

GUYS?
Wakati haya yanatokea alikuwa Waziri wa Fedha na anajua taratibu zote za kutuma pesa toka nje ya nchi. Guys, mbona hajawahi kusema waliolipwa walilipwa kupitia mfumo upi wa malipo hata serikali ikashindwa kubaini hayo malipo?

Yaani pesa itumwe toka nje, iingie nchini, watu walipwe, wapangwe kuandamana, waandamane bila serikali kujua?
Sasa hapo kuna serikali au kuna kikundi cha wala rushwa?
GUYS?

Mwisho, washauri wake wamwambie PM siyo KATIBU MWENEZI wa CCM, ni wa Watanzania wote.

Aache kuropoka.
Gentleman,
ujumbe umewafikia mamluki wa kuchakata porojo pale nairobi, right??:CouldYouNot:
 
Na vile Chadema wamekataa maridhiano basi si kelele hizo! Akiwa kwenye majukwaa anachosema hakiendani na hadhi yake ya kuwa PM!
 
Mwigulu ni mpumbavu sana
 
Its true, naunga mkono hoja, ila nashauri tusiendelee kumsakama, hiki ni kichwa chetu cha Iliboru, hihi pumba anazomwaga ni za kisisa tua, ili yuko vizuri sana upstairs.

Huyu ndiye the executive producer wa ili video ya ugaidi ya Rwakatare, On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

P.
Serious huwa sikuelewi kabisa unaposema Mwigulu yupo vizuri upstairs. Naona mara kibao unaitaja na shule ya ilboru kutuonyesha ni kiwango gani ni kichwa. Nahisi alikuwa mzuri wa kukariri, lakini hakuwa na maarifa. Anachokuzungumza na unachotaka tuamini kinakataa. Huenda ana akili, lakini upeo wake ni local zaidi.
 
Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA.

Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya mauaji ya watu, tena wakiwa majumbani mwao hapo tarehe 29 October, 2025, bwana Nchemba yeye yupo kwenye mipasho ya kuwajibu CDM? Kana kwamba ndiyo walioua watu, kumbe wauaji wanajulikana kwamba ni SAMIA na vyombo vyake vya dola. Tena yeye akikimbilia NGERENGERE kujificha na JAKAYA. Mulilo alikataliwa na kila mwenye hoteli akaenda kulala LUGALO JWTZ, tunafahamu.

Mfano katika hotuba yake moja, MWIGULU alisema asichokifahamu juu ya madai ya CDM ya kuahirishwa kwa uchaguzi; kwamba CDM walitaka muda wa serikali kukaa madarakani uishe ili waingie barabarani kwa maandamano, tena huku ameshika KATIBA. Huyu ni Waziri Mkuu wa namna gani asiyejua hata Katiba. AIBU.

Nimkumbushe Mwigulu kuwa CDM walipendekeza serikali iongezwe hata mwaka wa kukaa madarakani, yaani mwaka huu wote, ili marekebisho ya sheria za UCHAGUZI na KATIBA yafanyike ndipo uchaguzi uitishwe.
GUYS, GUYS, GUYS, haelewi hili au anapotosha makusudi?

Watu wanaotaka kuandamana kwa serikali kupitisha muda wanakuongezeaje mwaka mzima?

CDM walipendekeza hata kuongezwa kwa muda wa Bunge la BAJETI 2025/26. Japo ni gharama, lakini minimal reforms zifanywe.
GUYS, GUYS, GUYS, huyu PM alikuwa wapi wakati haya yanahubiriwa na HECHE na wenzake, tena wakiwa MAHAKAMANI baada ya kuzuiwa kufanya siasa kwa barua ya Msajili?
GUYS, GUYS.

Mwigulu anakwenda mbali kwa kuwauliza watu, ULIKUWEPO?
Yaani wananchi wasihoji juu ya mauaji ya ndugu zao kwa sababu HAWAKUWEPO? Sisi tulikuwepo. Wakati ndugu, rafiki na jamaa zetu wanauwawa. Mfano mimi nilikuwepo Salasala tu hapo wakati watu wanapigwa shaba wakiwa madukani.
GUYS, GUYS.

Mwigulu wewe hukuwepo kwa kuwa ulikuwa MASAKI na matajiri wenzio.

Mwigulu anasema kuna PESA zimeingizwa toka nje kuja kulipwa waandamanaji? Huyu ni PM wa namna gani anaongea mipasho bila uthibitisho?

GUYS?
Wakati haya yanatokea alikuwa Waziri wa Fedha na anajua taratibu zote za kutuma pesa toka nje ya nchi. Guys, mbona hajawahi kusema waliolipwa walilipwa kupitia mfumo upi wa malipo hata serikali ikashindwa kubaini hayo malipo?

Yaani pesa itumwe toka nje, iingie nchini, watu walipwe, wapangwe kuandamana, waandamane bila serikali kujua?
Sasa hapo kuna serikali au kuna kikundi cha wala rushwa?
GUYS?

Mwisho, washauri wake wamwambie PM siyo KATIBU MWENEZI wa CCM, ni wa Watanzania wote.

Aache kuropoka.
Anajisafisha kiaina
 
Kwa kuwa mama ni zero upstairs, itakuwa aliamua kuteua PM kiazi zaidi ili yeye asifunikwe
 
Chadema imemuathiri mwigulu, tangu apate uwaziri mkuu yeye anaongelea chadema tu. Akijaribu kutoka kidogo kuongelea mambo mengine anarudi tena chadema. Yaani bado amentality ile ya kuwa ukipambana na chadema basi cheo kinakusubiri. Sasa hicho ni cheo gani. Anaacha kusukuma ajenda kama za bima ya afya kwa wote yeye ni kujibu mipasho ya akina Maria Sarungi, wakina maria hawana vyeo, wao wana muda mwingi wa kuchambua makosa ya serikali. Asije akajikuta anamaliza miaka mitano bila legacy yoyote akaishia kudeal na akina Mange ambao hawana hata cha kupoteza katika nchi hii. Kwanza alitakiwa kuzunguka huko duniani kuisafisha nchi na uchafu wa MO29.
 
Its true, naunga mkono hoja, ila nashauri tusiendelee kumsakama, hiki ni kichwa chetu cha Iliboru, hizi pumba anazomwaga ni za kisiasa tuu, ili kujipalilia njia yake ya kuelekea kileleni 2030, kikwazo kikubwa kwake ni yeye sio Mkatoliki,kumejengeka mazoea,akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki,hivyo kazi kubwa ya kwanza ni kupambana na Catholicism supremacy, ila as a president to be, yuko vizuri sana upstairs Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Huyu ndiye the executive producer wa ile movie ya ugaidi ya Rwakatare, On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

P.
Ki
 
Huyu jamaa position inayomfaa ni kuwa Msemaji wa chama chake. Waziri Mkuu toka Uhuru wetu ni mtu makini, genuine - si ropo ropo hivi - mambo ya uenezi wenu nani anataka kusikia?, wananchi kwanza wanataka kusikia Je CCM ilishinda uchaguzi wa October 25 ? Je watu wangapi walikufa? Je vituo vingapi vya kupigia kura vilichomwa moto, Je kuna justification yoyote aitoe kwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki

Vinginevyo, ni yule yule Maderu wa mwaka 2010 kule kwao Iramba aliyetuharibia uchaguzi mdogo wa Igunga na Arumeru, Mzee wa ka flush ka Ugaidi ka Lwakatare
 
Speech za waziri mkuu hazivutii kabisa ni kama vile tunaelekea kwenye uchaguzi. Speech zimejaa porojo mtupu
 
Back
Top Bottom