Waziri Mkuu Nchemba, hazungumzi na watanzania, anazungumza na CHADEMA

Gentleman,
ujumbe umewafikia mamluki wa kuchakata porojo pale nairobi, right??
 
Na vile Chadema wamekataa maridhiano basi si kelele hizo! Akiwa kwenye majukwaa anachosema hakiendani na hadhi yake ya kuwa PM!
 
Mwigulu ni mpumbavu sana
 
Serious huwa sikuelewi kabisa unaposema Mwigulu yupo vizuri upstairs. Naona mara kibao unaitaja na shule ya ilboru kutuonyesha ni kiwango gani ni kichwa. Nahisi alikuwa mzuri wa kukariri, lakini hakuwa na maarifa. Anachokuzungumza na unachotaka tuamini kinakataa. Huenda ana akili, lakini upeo wake ni local zaidi.
 
Anajisafisha kiaina
 
Kwa kuwa mama ni zero upstairs, itakuwa aliamua kuteua PM kiazi zaidi ili yeye asifunikwe
 
Chadema imemuathiri mwigulu, tangu apate uwaziri mkuu yeye anaongelea chadema tu. Akijaribu kutoka kidogo kuongelea mambo mengine anarudi tena chadema. Yaani bado amentality ile ya kuwa ukipambana na chadema basi cheo kinakusubiri. Sasa hicho ni cheo gani. Anaacha kusukuma ajenda kama za bima ya afya kwa wote yeye ni kujibu mipasho ya akina Maria Sarungi, wakina maria hawana vyeo, wao wana muda mwingi wa kuchambua makosa ya serikali. Asije akajikuta anamaliza miaka mitano bila legacy yoyote akaishia kudeal na akina Mange ambao hawana hata cha kupoteza katika nchi hii. Kwanza alitakiwa kuzunguka huko duniani kuisafisha nchi na uchafu wa MO29.
 
Ki
 
Huyu jamaa position inayomfaa ni kuwa Msemaji wa chama chake. Waziri Mkuu toka Uhuru wetu ni mtu makini, genuine - si ropo ropo hivi - mambo ya uenezi wenu nani anataka kusikia?, wananchi kwanza wanataka kusikia Je CCM ilishinda uchaguzi wa October 25 ? Je watu wangapi walikufa? Je vituo vingapi vya kupigia kura vilichomwa moto, Je kuna justification yoyote aitoe kwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki

Vinginevyo, ni yule yule Maderu wa mwaka 2010 kule kwao Iramba aliyetuharibia uchaguzi mdogo wa Igunga na Arumeru, Mzee wa ka flush ka Ugaidi ka Lwakatare
 
Speech za waziri mkuu hazivutii kabisa ni kama vile tunaelekea kwenye uchaguzi. Speech zimejaa porojo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…