KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Mnatafuta mbuzi wa kafara.mbwa ninyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni umbrella tu maana hawezi kuwawajibishaMawaziri walio Chini yake mbona wanajulikana akina Jenister, Katambi na yule Prof wa Kasulu
Njomba Nchumali Diablo Dibala anazingua sana!Kassim Jamani Ni Changamoto
Mtendaji Mkuu wa serikali ni Waziri Mkuu(Kusimamia sera).Katibu Mkuu Kiongozi ni Mkuu wa Utumishi serikalini.Jamani huwezi kuwa perfect kwenye kila jambo,kama huelewi namna ambavyo Serikali inafanya kazi ni bora usemenuelezewe.
1.Mtendaji Mkuu wa Serikali ni Katibu Mkuu kiongozi ndio anayesimamia Makatibu wakuu wote wa Wizara.
2.Kila Taasisi ya Serikali/shirika la Umma au Mamlaka zipo chini ya Wizara za kisekta na zinaripoti kazi zao kwa Katibu Mkuu wa Wizara husika.
3.Report za kiutendaji zinaandaliwa na Katibu Wakuu wa Ma Wizara kisha kuwasilishwa kwenye Kikao chao zinajafiliwa na badaye kupelekwa kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri.
4.Wakaguzi wa ndani wapo kwenye kila Ofisi ya Serikali,kazi yao ni kumsaidia Mkuu wa Taasisi au Ofisi kwenye matumizi ya mafungu.
5.Hesabu za Serikali zinakaguliwa kwa kila Mwaka wa Fedha ubapokwisha,sababu zoezi hilo nalo ni gharama-kwa kuwa Wakaguzi wa Mkoa A huchukuliwa na kupelekwa Mkoa B.
By the way,jambo ambalo unatakiwa ulielewe ni kuwa report ya CAG inatoa viashiria vya tatizo sio necessary kuwepo na tatizo ndio maana taarifa hizo kupelekwa Bungeni kisha Wahusika waliotajwa katika report huitwa kutoka ufafanuzi unaombatana na nyaraka.
Ikigundulika kuna ubadhilifu hapo ndipo TAKUKURU wanaingia kuanza uchunguzi kabla ya mhusika kupelekwa Mahakamani.
Kwa ripoti ile ya CAG waandamizi wataandamwa sanaToka juzi unamuandama Waziri Mkuu .