Waziri Mkuu ni kiongozi wa shughuli za Tanganyika hawezi kutoka Zanzibar

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.

Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.

Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.

Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.

Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
 
Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake ni Wazanzibar.
ok.🐒
 
Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.

Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.

Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.

Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.

Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Waziri mkuu anatakiwa kusimamia pande zote za muungano, raos wa zanzibar kwenye serikali ya muungano ni kama waziri kwa tafsiri nyingine yupo chini ya waziri mkuu.
 
Mwaipopo ndiyo alianza kuchokonoa mambo na sasa ameingia mama mwenyewe kumalizia kazi.
Video yote IPO ikulu na ameambiwa akikataa kujiuzulu itavujishwa clip yote
 
Waziri mkuu anatakiwa kusimamia pande zote za muungano, raos wa zanzibar kwenye serikali ya muungano ni kama waziri kwa tafsiri nyingine yupo chini ya waziri mkuu.
Soma Ibara ya 52, Waziri Mkuu hawezi kulisimamia wala kulidhibiti baraza la Wawakilishi ambalo ndilo linaisimamia serikali ya Zanzibar, je PM mamlaka yake yanaishia wapi Nungwi.
 
Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.

Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.

Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.

Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.

Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Eti Rais na Makamu wote Wazanzibar,acheni ujinga jamani Ndejembi ni Kabila la Wazanzibar? Mama kuwa na asili ya visiwani hajufanyi mtoto kuwa wa Zanzibar
 
Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.

Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.

Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.

Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.

Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Kwa sasa tumeipumzisha katiba inatupotezea maendeleo.
 
Kwani tayari Lameck anajiuzulu? Mbona mapema hivyo, mwezi wa nane Makamu wa Raisi, mwezi wa kumi PM imbombo jilipo
 
Soma Ibara ya 52, Waziri Mkuu hawezi kulisimamia wala kulidhibiti baraza la Wawakilishi ambalo ndilo linaisimamia serikali ya Zanzibar, je PM mamlaka yake yanaishia wapi Nungwi.
weka hiko kifungu
 
Back
Top Bottom