- Thread starter
- #41
Sawa nimeshalitolea ufafanuzi, ni kipindi misingi ya muungano ilikuwa bado haijatikiswa.Unasahau tumewahi kuwa Dr. Salim Ahmed Salim
Sawa nimeshalitolea ufafanuzi, ni kipindi misingi ya muungano ilikuwa bado haijatikiswa.Unasahau tumewahi kuwa Dr. Salim Ahmed Salim
Unasahau tumewahi kuwa Dr. Salim Ahmed Salim
Umeongea vyema hapa mambo mengi wanayafanya kienyeji hawazingatii katiba.Katiba inasema hivyo ila utekelezaji wake ni mgumu, mfano bandari, kodi, ni mambo ya Muungano lkn Waziri mkuu hana mamlaka ya kuhoji mambo ya bandari za Zanzibar.
Kumbuka baraza la Wawakilishi linasimamia shughuli zote za Zanzibar.
Kama ungefatilia kesi ya uhaini waliyopewa viongozi wa CUF usingeuliza hayo maswali, Zanzibar hauwezi kufanyika uhaini sababu Zqnzibar siyo dola. Kwa lugha nyingine Zanzibar haina jeshi wa amiri mkuu wa majesho.Kwan Zanzibar ni nchi au nchi ndani ya nchi
Nijibiwe haya maswali.
1.kuna nchi isiyo na jeshi ? Zanzibar Ina jeshi kama lipo, nan amiri jeshi mkuu wake?
2.Naomba kufaham mkuu wa majeshi ya Zanzibar ?
3.Kitiifaki kati ya rais wa Zanzibar na makamo wa rais muungano nan mkubwa ?
4. Ni wakati gan rais wa Zanzibar atakuwa na mamlaka KWENYE serikari ya muungano?
5.Ktk baraza la usala wa taifa rais wa Zanzibar anaingia kama nan? Na makamo wa rais muungano anaingia kama nan ?
Na makamo mwenyekiti wa baraza Hilo ni nan?
Huu muungano alieusuka alikosea vitu vingi sana
Katiba ndio mwongozo wa kila kituHayo hapo kwenye bolt ni nadharia kama ya uwepo wa moto wa milele lakini kwenye utekelezaji mambo hayapo hivo. Kila unapoona neno Jamhuri ya Muungano anayesemwa hapo ni Tanganyika. Bunge la Muungano mamlaka yake kwenye utendaji haalisi yaanaishia pale Mogogoni nyuma ya Ikulu ya Tanganyika pale Darusalama. Hata Rais wa Jamhuri ya Muungano (a.k.a Tanganyika) akienda kwenye shughuli za maadhimisho Zanzibar anabana miguu wakati Rais wa Zanzibar na Mkuu wa Nchi ya Zanzibar aakipigiwa Mizinga 21 ya Kijeshi. Ukijifanya kuyajua sana mambo ya Tanzania na CCM utachanganyikiwa bure.
Watanganyika hata akitoka Malawi hawanaga shidaPamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.
Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.
Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.
Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.
Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Katiba hii hii ambayo hadi wazanzibar wanapewa nafasi za uongozi katika Wizara zisozo za Muungano? Katiba hii ambayo Chama kimoja kinaweza kujitangazia ushindi wa hadi asilimia 98? Katiba hii hii ambayo Mama yetu anaita Kijitabu tu???Katiba ndio mwongozo wa kila kitu
Katiba hairuhusu hayo mambo tatizo katiba yetu haina kinga ndio maana rais anajiamlia anavyotaka akijua hawezi kubanwa kisheria akivunja katibaKatiba hii hii ambayo hadi wazanzibar wanapewa nafasi za uongozi katika Wizara zisozo za Muungano? Katiba hii ambayo Chama kimoja kinaweza kujitangazia ushindi wa hadi asilimia 98? Katiba hii hii ambayo Mama yetu anaita Kijitabu tu???
Kwa ufupi Katiba kwa nchi zilizostaarabika tu. Kwa nchi zetu watawala wapo juu ya Katiba na Sheria.