ok.🐒Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.
Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.
Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.
Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.
Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake ni Wazanzibar.
Salim alikuwa PM enzi hizo misingi ya Muungano ilikuwa haijatikiswa.Anaweza kutoka Zanzibar. Shaka Hamidu Shaka ni Mzanzibari ila ni Mkuu wa Wilaya Bara. Pia Ahmed Salim Mzanzibari amewahi kuwa Waziri Mkuu.
Shaka yupo kinyume cha sheria sababu wakuu wa wilaya, mikoa si mambo ya muungano ila waziri mkuu anaweza kutoka upande wowote.Anaweza kutoka Zanzibar. Shaka Hamidu Shaka ni Mzanzibari ila ni Mkuu wa Wilaya Bara. Pia Ahmed Salim Mzanzibari amewahi kuwa Waziri Mkuu.
Waziri mkuu anatakiwa kusimamia pande zote za muungano, raos wa zanzibar kwenye serikali ya muungano ni kama waziri kwa tafsiri nyingine yupo chini ya waziri mkuu.Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.
Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.
Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.
Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.
Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Kwanza kabisa, hapa tumepigwahasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Labda atafutwe mzanzibari wa kuchovya kama Ndejembi.Sasa km Rais na makamu wake wanatokea zenji, itashindikana nini waziri mkuu kutoka huko ng'ambo?
Nchi imeoza hii.
Soma Ibara ya 52, Waziri Mkuu hawezi kulisimamia wala kulidhibiti baraza la Wawakilishi ambalo ndilo linaisimamia serikali ya Zanzibar, je PM mamlaka yake yanaishia wapi Nungwi.Waziri mkuu anatakiwa kusimamia pande zote za muungano, raos wa zanzibar kwenye serikali ya muungano ni kama waziri kwa tafsiri nyingine yupo chini ya waziri mkuu.
Eti Rais na Makamu wote Wazanzibar,acheni ujinga jamani Ndejembi ni Kabila la Wazanzibar? Mama kuwa na asili ya visiwani hajufanyi mtoto kuwa wa ZanzibarPamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.
Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.
Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.
Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.
Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Kwa sasa tumeipumzisha katiba inatupotezea maendeleo.Pamoja na katiba kuruhusu Mbunge wa Jamhuri ya Muungano kutoka upande wa Zanzibar kuwa Waziri Mkuu lkn kunaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi pengine kikatiba.
Ibara ya 66(1) inasema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi miongoni mwao wanaweza pia kuwa Wabunge wa Muungano.
Moja ya wajibu wa Waziri Mkuu ni kusimamia na kudhibiti utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambapo Zanzibar ni eneo lake la kazi kikatiba, lakini hana mamlaka ya kulidhibiti Baraza la Wawakilishi.
Ikitokea Waziri Mkuu wa JMT ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokana na Ibara ya 66(1), hawezi kudhibiti shughuli za Baraza Wawakilishi ambalo kazi yake ni pamoja na kutunga sheria za Zanzibar, hatuoni kuwa kuna mgongano wa kimaslahi.
Ndio maana nasema kwa katiba hii ni vigumu sana kuwa na Waziri Mkuu kutoka Zanzibar hasa kwa situation tuliyo nayo ambapo Rais na Makamu wake wote ni Wazanzibari.
Nilikuwa sijui kama mama yake ni mzanzibari asante kwa taarifa.Eti Rais na Makamu wote Wazanzibar,acheni ujinga jamani Ndejembi ni Kabila la Wazanzibar? Mama kuwa na asili ya visiwani hajufanyi mtoto kuwa wa Zanzibar
Tena atakua Simai waziri mkuu.Labda atafutwe mzanzibari wa kuchovya kama Ndejembi.
weka hiko kifunguSoma Ibara ya 52, Waziri Mkuu hawezi kulisimamia wala kulidhibiti baraza la Wawakilishi ambalo ndilo linaisimamia serikali ya Zanzibar, je PM mamlaka yake yanaishia wapi Nungwi.