Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Azimio la Lindi?Waziri lazima awe mtanganyika,Soma Azimio la Lindi
NdioAzimio la Lindi?
Silijui Hilo Azimio. Hebu lielezee kidogo.Ndio
Wazee walikaa na kuazimia kuwa Waziri mkuu lazima awe Mtanganyika,Na haruhusiwi kuwa Rais wa JMTSilijui Hilo Azimio. Hebu lielezee kidogo.
Aisee!Wazee walikaa na kuazimia kuwa Waziri mkuu lazima awe Mtanganyika,Na haruhusiwi kuwa Rais wa JMT
Pekua kidogo mzee.
Tanganyika ilishakufa, unaposema Tanganyika unamaanisha nini?Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika?
Kama ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika, ilikuwaje Salim Ahmed Salim alipata kuwa Waziri Mkuu?
Kuna watu wanadai kuwa waziri Mkuu ni nafasi ya kisiasa kwa ajili ya kulinda maslahi ya Tanganyika ndani ya Serikali ya Muungano. Ni kweli?
Sasa mambo ya Tanganyika (mfu) ndani ya Muungano anayasimamia nani?Tanganyika ilishakufa, unaposema Tanganyika unamaanisha nini?
Huyo Mtanganyika ana legal document gani ya kumtambulisha huyu Mtanganyika? Ana sheria gani? Ana uraia gani? Ana kitambulisho gani cha kisheria kumtambulisha huyu ni Mtanganyika?
Mambo ya Tanganyika ipi wakati Tanganyika haipo? Ushasema Tanganyika imekufa. Sasa mambo ya Tanganyika ipi?Sasa mambo ya Tanganyika (mfu) ndani ya Muungano anayasimamia nani?
Kwa muktadha huu, ni kwamba Muungano uliiua Tanganyika na kuiacha hai Zanzibar.Mambo ya Tanganyika ipi wakati Tanganyika haipo? Ushasema Tanganyika imekufa. Sasa mambo ya Tanganyika ipi?
Exactly.Kwa muktadha huu, ni kwamba Muungano uliiua Tanganyika na kuiacha hai Zanzibar.
Na kwa mantiki ya hoja yako, ni kwamba kabla hatujajadili mambo ya Tanganyika ni lazima kwanza tuifufue Tanganyika!
Sawa kabisa.Exactly.
Haki za watu zinadaiwa kwa instruments.
Sheria, katiba, etc. Hizi ni instruments za state.
Bila ya kuwa na hiyo state, huwezi kuwa na hizo state instruments. Sanasana utajikita kwenye Universal Declaration of Human Rights tu (hivi ndivyo watu waliolilia uhuru kutoka kwa wakoloni walivyodai uhuru wao. Ndiyo maana Nyerere alienda Makao Makuu ya UN New York kudai uhuru).
Sasa, Tanzania haitawaliwi na mkoloni. Watu wake wanaoona wana haja ya kuwa na state ya Tanganyika iwe na state instruments za kuwatetea, wadai state yao, wapate state instruments zao, bunge kao, serikaki yao, judiciary yao, sheria zao.
Watu wanatafuta ugali kwa kubeti mkuu.Sawa kabisa.
Hoja ya G55 inakuwa na mashiko zama hizi. Pia harakati za Christopher Mtikila zinatakiwa zifufuliwe...
Tatizo nani muanzisha mwendo?
Itabidi baada ya Uchaguzi ateuliwe Waziri Mkuu kutoka Zanzibar this time ! πTangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika?
Kama ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika, ilikuwaje Salim Ahmed Salim alipata kuwa Waziri Mkuu?
Kuna watu wanadai kuwa waziri Mkuu ni nafasi ya kisiasa kwa ajili ya kulinda maslahi ya Tanganyika ndani ya Serikali ya Muungano. Ni kweli?
Yes. Hiyo itasaidia Sana kuleta hai mjadala.T
Itabidi baada ya Uchaguzi ateuliwe Waziri Mkuu kutoka Zanzibar this time ! π
Mnaanza kampeni ili mchukue vyeo vyote!!!!???Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika?
Kama ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika, ilikuwaje Salim Ahmed Salim alipata kuwa Waziri Mkuu?
Kuna watu wanadai kuwa waziri Mkuu ni nafasi ya kisiasa kwa ajili ya kulinda maslahi ya Tanganyika ndani ya Serikali ya Muungano. Ni kweli?
Mtikila The Genius R.I.P ππSawa kabisa.
Hoja ya G55 inakuwa na mashiko zama hizi. Pia harakati za Christopher Mtikila zinatakiwa zifufuliwe...
Tatizo nani muanzisha mwendo?