Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huu muungano fake uvunjwe haraka bara tumegeuzwa koloni la Zanzibar aseeHata Rais wa Tanganyika anatakiwa awe Mtanganyika. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Haiwezekani nchi iliyopata uhuru wake 9/12/1961 iongozwe na mtu kutoka nchi nyingine.
NB: niko tayari kukosolewa kama sipo sahihi. Hapa naongelea Tanganyika. Na siyo Tanzania Bara.
Makamu akitoka Bara itapendeza Waziri Mkuu atokee Zanzibar 🙏Zanzibar wanatakiwa watoe makamu pekee
Makamu akitoka Bara itapendeza Waziri Mkuu atokee Zanzibar 🙏
Inakuwaje sasa TAMISEMI inaajiri wazanzibari?Ndio ni lazima awe Mtanganyika, kwa kifupi sana TAMISEMI ndio kama serikali ya watu wa Tanganyika na hata viongozi na ajira zake zinapasa kuwa za Watanganyika.
Hoja yako Numbisa nimeielewa. Kwa kuwa wao wana Serikali Yao, huku kwenye Muungano wawe wanatoa makamo wa Rais na Rais atoke Tanganyika.Cheo cha makamu hakina nguvu wabaki nacho wazenji. Wao kule wana serikali yao
Sasa mbn kawekewa mipaka😂Wazee walikaa na kuazimia kuwa Waziri mkuu lazima awe Mtanganyika,Na haruhusiwi kuwa Rais wa JMT
Pekua kidogo mzee.
Kwani rais wa Baraza la Mapinduzi anaweza kuwa mtanganyika? Yaani mnataka urais na uwaziri mkuu! Kiinchi chenyewe kipande kisicholingana na wilaya ya Mkuranga. Tuondolee tamaa na kutaka kutugeuza mazwazwa.Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika?
Kama ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika, ilikuwaje Salim Ahmed Salim alipata kuwa Waziri Mkuu?
Kuna watu wanadai kuwa waziri Mkuu ni nafasi ya kisiasa kwa ajili ya kulinda maslahi ya Tanganyika ndani ya Serikali ya Muungano. Ni kweli?
Si nafasi ya Kila mtanzania?He..!! Wazanzibari sasa wanautaka na Uwaziri mkuu.. Ya kushangaza hayataisha..
Wazanzibari sio watanzaniaSi nafasi ya Kila mtanzania?