Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
Inawezekana SSH anachukia rushwa, tatizo kashindwa kutengeneza taasisi zenye uwezo wa kuonekana kweli zinachukia hiyo rushwa.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
Habari potofu wapi, ama unadhani watu hawajui ukweli? Kama watu wameweza kupika matokea ya kura hadi kufika 31m, unadhani wataweza kuamini habari za hao watakaojifanya wanatoa ufafanuzi? Rais anayechukia rushwa hapori uchaguzi na kufanya mauaji.Inawezekana SSH anachukia rushwa, tatizo kashindwa kutengeneza taasisi zenye uwezo wa kuonekana kweli zinachukia hiyo rushwa.
Misinformation na disinformation zinaleta madhara makubwa kwenye utendaji mzima wa serikali, watu wanapokea habari potofu inaachwa mpaka inakuja kuonekana kuwa ya ukweli, yupo mwenye kulipwa mshahara kwa kazi ya kukanusha kitaalam kile kinachoichafua serikali, anaifanya hiyo kazi kikamilifu?.
Vile vifo vya tarehe 29 October vilikuwepo kwa sababu ya huo uzushi wa muda mrefu kutoshughulikiwa ipasavyo. Watu walivunja na kuchoma biashara walizodhania zinamilikiwa na kina JK pamoja na marafiki zake, nani anaifanya kazi ya kukanusha habari hiyo tangu inapoanza kusikika masikioni mwa watu?.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
π π π π π π π π π π€£π€£π€£π€£Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
Enzi za watanzania to be taken for a ride it's over.Amkeni acheni kuwaona bado ni kama mazombiWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
Mwigulu Mungu anakuona ujueWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.
πππ Collective imbecile... #Chachage
Mkuu nyingi zinazoandikwa kuhusiana na Samia ni uzushi wa mitandaoni unaotokana na chuki pamoja na ubaguzi dhidi ya SSH kwamba ni mwanamke mzenji anayeiongoza TZ, hicho kitu huku bara wengi hawapendi.Habari potofu wapi, ama unadhani watu hawajui ukweli? Kama watu wameweza kupika matokea ya kura hadi kufika 31m, unadhani wataweza kuamini habari za hao watakaojifanya wanatoa ufafanuzi? Rais anayechukia rushwa hapori uchaguzi na kufanya mauaji.
Nikifikiria usomi, uadilifu na aina ya uongozi tuliokuwa nao zamani halafu ukalinganisha na sasa, ni mbingu na ardhi. Kina Mtei, Salim Ahmed Salim, Kambona, Mwapachu, nk. wengine tumewasikia tu ila unaona kabisa historia yao inaonyesha siyo tu walikuwa wazalendo na waadilifu ila walisoma wakaelimika.Huyu jamaa huenda hata hiyo Phd ya jalalani kafanyiwa aisee yani haoni tu hizo rushwa za madaraka mama malkia alizowapa familia, ukoo na wakwe wake? Au kwa kuwa na yeye karushiwa fupa afe nalo ili mama yao apate kupooza? Mbona ipo wazi sana? Bado anaona hiki ni kizazi cha baada ya vita vya kagera tulipoambiwa tufunge mikanda na hadi leo hatujaambiwa tulegeze? π
Atakuwa alikua bado anachunga ng'ombe huyu