Mkuu nyingi zinazoandikwa kuhusiana na Samia ni uzushi wa mitandaoni unaotokana na chuki pamoja na ubaguzi dhidi ya SSH kwamba ni mwanamke mzenji anayeiongoza TZ, hicho kitu huku bara wengi hawapendi.
Inapokuwepo chuki na ubaguzi ni rahisi kutengeneza habari za kizushi katika kuichafua taswira ya kiongozi, hao wenye chuki na ubaguzi wanakuwa na huo msukumo wa kuitenda dhambi bila ya wao wenyewe kujua kwamba wanachokifanya ni dhambi.
Kwahiyo kura 31m ni kweli ila watu hawataki maana yeye ni mwanamke na mzanzibar?Mkuu nyingi zinazoandikwa kuhusiana na Samia ni uzushi wa mitandaoni unaotokana na chuki pamoja na ubaguzi dhidi ya SSH kwamba ni mwanamke mzenji anayeiongoza TZ, hicho kitu huku bara wengi hawapendi.
Inapokuwepo chuki na ubaguzi ni rahisi kutengeneza habari za kizushi katika kuichafua taswira ya kiongozi, hao wenye chuki na ubaguzi wanakuwa na huo msukumo wa kuitenda dhambi bila ya wao wenyewe kujua kwamba wanachokifanya ni dhambi.
SSH anafanya mengi huko mikoani, sisi huku DSM hatuwezi kuliona hilo kwa sababu tunamezwa na chuki.Kwahiyo kura 31m ni kweli ila watu hawataki maana yeye ni mwanamke na mzanzibar?
Hivyo vitu vinafanywa na kodi za watanzania sio mshahara wa Samia, watu wanatoa kura kwa wamtakaye sio aliyeko madarakani. Narudia tena kura 31m ni za kweli?SSH anafanya mengi huko mikoani, sisi huku DSM hatuwezi kuliona hilo kwa sababu tunamezwa na chuki.
Kule Ziwa Victoria imeanza kazi meli ya kutoka Mwanza kwenda Bukoba, kwanini wakazi wa kule wamnyime kura?.
Kuna daraja la busisi kwanini watumiaji wamnyime kura? kwanini wavuvi wanaofaidika na kiwanda cha samaki Lindi wamnyime kura?.
Kwanini ziwe takwimu za uongo wakati hizo nimekutajia ndio sababu zinazompa kura rais?.Hivyo vitu vinafanywa na kodi za watanzania sio mshahara wa Samia, watu wanatoa kura kwa wamtakaye sio aliyeko madarakani. Narudia tena kura 31m ni za kweli?
What a sonofabitch! “Samia anachukia rushwa, anachukia ubadhilifu, anachukia matumizi mabaya ya raslimali za nchi hii, […]”, my foot!Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipokuwa akimwakilisha Rais katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Akizungumza na viongozi hao wa TAKUKURU, Waziri Mkuu amebainisha kuwa dhamira ya Rais Samia ya kulinda utu wa mwananchi na kuhakikisha maendeleo ya taifa inategemea sana uadilifu na uwajibikaji wa taasisi za udhibiti. Ameeleza kuwa Rais amekuwa akifanya juhudi za makusudi kuziimarisha taasisi hizo kwa kuziongezea rasilimali watu, bajeti, miundombinu, na hata kufanya marekebisho ya kisheria ili kuzipa "meno" ya kutosha kutekeleza majukumu yao.
Waziri Mkuu ameongeza kuwa kupitia kazi nzuri inayofanywa na TAKUKURU, rasilimali za nchi zitatumika ipasavyo kwa ajili ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kweli. Amewataka viongozi hao kupokea salamu za Rais na kuendelea kupambana na vitendo vyote vinavyoharibu misingi ya utawala bora, huku wakijua kuwa wana uungaji mkono wa asilimia 100 kutoka ngazi ya juu ya uongozi wa nchi.