Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Afazali ingekua ya matope ipo kidogo mjin iyo mpya ipo mbali uko porini ili watanue mji eti
What does it mean by kutanua Mji? Hivi Mji kutanua au kukua kunaletwa na stand!? Akili za maccm na watendaji wao ni sifuri kabisa
 
Huu mtindo wa hovyo mno , hii nchi ina watu wenye akili matope Sana , unapeleka stend 20km away kwenye mji kama Songea ??? Hvi viongozi wanafkr Kwa kutumia matako au makalio .... Stendi ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria , sio lazima uwe na stend moja unaweza kuwa na stend hata tatu kulingana na mji unavyoingilika kupitia njia kuu... Kama ilivyo Mwanza , wafanyabiashara huko inabid mkaze mwanzo mwenga.. nothing to loose , ikibidi wenye mabas pia mzingue vile vile
The same to Sumbawanga na Iringa,,even stand mpya ya Tunduma ,,washenzi Sana hao afu wametumia bilions of money kujenga mastendi sijui kwa logic gani.

Mbeya mjini kwa mfano stand kuu iko mjn Kati kuna shida gani kwani
 
aisee niliwah kufika kule nilishangaa sana.kuiona stend inayoitwa ya zaman ya mabus ya mikoan na hio inayoitwa mpya.
ya zaman ipo vizur inaonesha ilikua imechangamsha mji
hio ya mpya yan matope matupu giza
Unazungumzia ya shule ya Tanga aua ya Msalamala..??
 
Hili bandiko halina haki ya kuwa hiyo sehem,nasema halina haki kwasababu halina muhuri wa mkurugenzi wa manispaa ya Songea,pili halina sahihi ya mkurugenzi wa manispaa,kwahiyo bandiko hili linapaswa kupuuzwa.
Saini sawa lkn mhuri haurakiwi kama ushaweka nembo
 
Mitano tena!
What does it mean by kutanua Mji? Hivi Mji kutanua au kukua kunaletwa na stand!? Akili za maccm na watendaji wao ni sifuri kabisa
IMG-20210217-WA0005.jpeg
 
Serikali ilitakiwa kuwaandalia njia sambamba na ujenzi wa stand, lakini cha kushangaza na wao wanashangaa kuwa kumbe hakuna njia kwa watu hao
Maccm yalivyokuwepo viazi,pesa walizotumia zinatosha kujenga stand kadhaa maeneo tofauti na zikaserve the same purpose.

Stand kama nane nane Mbeya au simu 2000 au kama ya kibaha zinatosha kujengwa kwa mabilioni yaliyotupwa kwenye kistendi kimoja
 
Noted, ni changamoto lakini kipekee naona lilikua ni jambo jema la kukuza mji, hapo ni mazingira tu na kukubaliana ili kuondoa changamoto, lakini siyo wazo baya hata kidogo
Mji unakuzwa kwa stand mbona mnakuwa wajinga? Kukuza Mji so what
 
Mji wa watu milioni moja na nusu mpaka milioni 3 haupaswi juwa na radius ya zaidi ya km 10. Na kuna miji ina radius ya kilomita 14 laven belgium na ina population ya zaidi ya watu milioni 3 haina skyscrapers wala nn.. ni matumizi mazuri ya ardhi tu.

Compact cities ndio future.. ukubwa wa mji sio kilomita square unazojaza.. ila population unayoaccomodate... Hakuna haja ya mji wa watu laki 3 kuwa na eneo la kimji la zaidi kilomita 30/40.
Barabara za lami kila mitaa,umeme wa uhakika na maji tutavisikia tu kwenye bomba kwa kila Mutu mjini
Ndio utashangaa akili za watzn unajiuliza Hawa watendaji wanatumia akili au mihemko ya kijinga?
 
Aisee..nilijuaga msamala ..na kweli pale mjini mwezi January tulishuka pale niliona daladala tupu...songea kwetu Ila pabaya
Yna2, wa kunyumba kumbiii..!! Kulizaboni, kumsahamala, kumateka, kumahenge au kulondoni..!?
 
Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Usifananishe Dar na mambo ya kijinga.
Mbezi mbagala ni mwendo wa saa 1 na ushekhe na daladala kibao. Tena hata ufike saa 8 usiku hukosi usafiri.....

Mtu ana alternatives nyingi kutokea mbagala kwenda mbezi.

Mbagala-tazara-ubungo-mbezi
Mbagala-airport-kinyerezi-mbezi
Mbagala-posta-ubungo-mbezi
Mbagala-kigogo-ubungo-mbezi

Zote hizi usafiri wa daladala unapata muda mwingi.
Screenshot_2021-02-23-07-41-38-44.jpg
 
Kunakutanua fursa na kubana fursa,,kimsingi mgomo wa jana umesababishwa kwa kiasi kikubwa na wenye maduka mjini wakiamini biashara zimeshuka kutokana na abiria kutoshushwa stendi ya mjini,,wenye magari waeunga mkono kuupa mgomo nguvu.

Kuhusu maduka yote kufungwa sio kweli,,ila kwa katikati ya mji kulikuwa na maduka machache wazi mfano kwa Abbas na kwa Mohamed na mitaani maduka mengi yalikuwa wazi,
Hoja yao kubwa ni magari kuingia mjini,,binafsi siafiki kwa sababu inapelekea msongamano usio wa lazima na watu wanaongezeka baada ya miaka mitano mbele wanaopinga wataelewa.
 
Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Dar ukiamka saa10 usiku daladala za uhakika.sasa songea daladala saa 11 zinaanza safari
 
Kwa mtu asiyeijua Songea anaweza akashabikia huu mgomo ila kwa tuliopo huku na tunaoelewa dhana ya mipango miji na maendeleo ni ngumu kuwasapoti wafanyabiashara labda uwe na maslahi binafsi.
Songea ni mji ambao umejawa na ujuaji,,fitina na majungu,,mtu akifanya vizuri na kusimamiakanuni na taratibu anaandamwa sana.
Iwe kwenye elimu hivohivo mimi naiomba serikali isimamie maamuzi ,,
Watu wajuaji kama hawa wakafanye biashara kwingine sio lazima walazimishe kuwepo hapo
 
Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Kwa hiyo na huko Mbagala Mbezi usafiri unasumbua pia? Unajua kinatokea nini ukiingia pale Stand ya Shule Tanga usiku?
 
Back
Top Bottom