Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
What does it mean by kutanua Mji? Hivi Mji kutanua au kukua kunaletwa na stand!? Akili za maccm na watendaji wao ni sifuri kabisaAfazali ingekua ya matope ipo kidogo mjin iyo mpya ipo mbali uko porini ili watanue mji eti
The same to Sumbawanga na Iringa,,even stand mpya ya Tunduma ,,washenzi Sana hao afu wametumia bilions of money kujenga mastendi sijui kwa logic gani.Huu mtindo wa hovyo mno , hii nchi ina watu wenye akili matope Sana , unapeleka stend 20km away kwenye mji kama Songea ??? Hvi viongozi wanafkr Kwa kutumia matako au makalio .... Stendi ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria , sio lazima uwe na stend moja unaweza kuwa na stend hata tatu kulingana na mji unavyoingilika kupitia njia kuu... Kama ilivyo Mwanza , wafanyabiashara huko inabid mkaze mwanzo mwenga.. nothing to loose , ikibidi wenye mabas pia mzingue vile vile
Unazungumzia ya shule ya Tanga aua ya Msalamala..??aisee niliwah kufika kule nilishangaa sana.kuiona stend inayoitwa ya zaman ya mabus ya mikoan na hio inayoitwa mpya.
ya zaman ipo vizur inaonesha ilikua imechangamsha mji
hio ya mpya yan matope matupu giza
Saini sawa lkn mhuri haurakiwi kama ushaweka nemboHili bandiko halina haki ya kuwa hiyo sehem,nasema halina haki kwasababu halina muhuri wa mkurugenzi wa manispaa ya Songea,pili halina sahihi ya mkurugenzi wa manispaa,kwahiyo bandiko hili linapaswa kupuuzwa.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] ni shidaUsafiri wa ndani ya mjini ndio ufike elfu 3000!?
Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?Ile stand iko mbali mno,ni afadhali ingejengwa palepale msamala
What does it mean by kutanua Mji? Hivi Mji kutanua au kukua kunaletwa na stand!? Akili za maccm na watendaji wao ni sifuri kabisa
Maccm yalivyokuwepo viazi,pesa walizotumia zinatosha kujenga stand kadhaa maeneo tofauti na zikaserve the same purpose.Serikali ilitakiwa kuwaandalia njia sambamba na ujenzi wa stand, lakini cha kushangaza na wao wanashangaa kuwa kumbe hakuna njia kwa watu hao
Mji unakuzwa kwa stand mbona mnakuwa wajinga? Kukuza Mji so whatNoted, ni changamoto lakini kipekee naona lilikua ni jambo jema la kukuza mji, hapo ni mazingira tu na kukubaliana ili kuondoa changamoto, lakini siyo wazo baya hata kidogo
Ndio utashangaa akili za watzn unajiuliza Hawa watendaji wanatumia akili au mihemko ya kijinga?Mji wa watu milioni moja na nusu mpaka milioni 3 haupaswi juwa na radius ya zaidi ya km 10. Na kuna miji ina radius ya kilomita 14 laven belgium na ina population ya zaidi ya watu milioni 3 haina skyscrapers wala nn.. ni matumizi mazuri ya ardhi tu.
Compact cities ndio future.. ukubwa wa mji sio kilomita square unazojaza.. ila population unayoaccomodate... Hakuna haja ya mji wa watu laki 3 kuwa na eneo la kimji la zaidi kilomita 30/40.
Barabara za lami kila mitaa,umeme wa uhakika na maji tutavisikia tu kwenye bomba kwa kila Mutu mjini
Yna2, wa kunyumba kumbiii..!! Kulizaboni, kumsahamala, kumateka, kumahenge au kulondoni..!?Aisee..nilijuaga msamala ..na kweli pale mjini mwezi January tulishuka pale niliona daladala tupu...songea kwetu Ila pabaya
Kwa gharama gani..???Mkuu usifananishe dsm na songea, dsm unaweza fika sehem mda wowote.
Usifananishe Dar na mambo ya kijinga.Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Buku tu.Kwa gharama gani..???
Mbagala Rangi 3 na Mbezi stendi mpya Kms ngap?
Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Kwa hiyo na huko Mbagala Mbezi usafiri unasumbua pia? Unajua kinatokea nini ukiingia pale Stand ya Shule Tanga usiku?Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?