PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo Mei 19, 2025, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza, Waziri Mkuu amesema Uchaguzi upo na Tume Huru ya Uchaguzi imeshathibitisha kuwepo kwa uchaguzi, hivyo vyama vya siasa vinaruhusiwa kupeleka wagombea wao kwa mujibu wa taratibu zao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nataka niwasihi, huu mwaka maneno ni mengi. Chuja maneno ya kuyabeba, sikiliza, chuja maneno ya kuyachukua. Tunataka tuone amani ikishamiri nchi hii," amesisitiza.

View attachment 3339804
statement za u- impunity, watanifanya nini
 
sie tunajua hakuna Uchaguzi!
 
Kupiga kura kwa mazingira ya sasa ni kielelezo cha ujinga
 
Chauma na ACT watavuna sana wagombea

Hakuna mwanasiasa hataki kusaka ubunge hata huko chadema ni kisabuni tu 😆😆
 
😸😸😸😸😸

HAkusoma alama za nyakati.ndugai akusoma alama za nyakati akaona asepe Tu.

Serikali ya Samia NI one man show.
Huu mtandao umevamiwa na mazombie sahv unafikiria mara mbilimbili kuja huku. Kuna watu wa hovyo, ni wazushi, wapotoshaji, waongo, wasio na adabu, kwl kuna watu wanabeba matope kichwani
 
Back
Top Bottom