PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo Mei 19, 2025, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza, Waziri Mkuu amesema Uchaguzi upo na Tume Huru ya Uchaguzi imeshathibitisha kuwepo kwa uchaguzi, hivyo vyama vya siasa vinaruhusiwa kupeleka wagombea wao kwa mujibu wa taratibu zao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Nataka niwasihi, huu mwaka maneno ni mengi. Chuja maneno ya kuyabeba, sikiliza, chuja maneno ya kuyachukua. Tunataka tuone amani ikishamiri nchi hii," amesisitiza.

View attachment 3339804
Mbona wote wanarudiarudia hayohayo tu?Hawajiamini?
 
well done PM :KasugaYeah: :KasugaYeah:
 
Angesema tume ya ccm na sio tume huru tanzania
 
".........Yupo mzima na anachapa kazi kama kawaida"
 
Eti Tume Huru Ya Uchaguzi, ina uhuru upi?
 
No reform No election ,hakuna muda wa kupoteza kwa kupanga foreign, huku ukijua matokeo ni wizi wa kura
 
Back
Top Bottom