Professional liar at work 😂
Walijua Watanzania wengi Bado wajinga...........!!! Wakimaliza hili tunaka kujua rasilimali zetu zina faida gani?
Alitupiga fix Magu yuko bize ofisini anachapa kazi kumbe mzee wa watu kashajirudia zake kwa baba....Professional liar at work 😂
Huyu Mzee ni highly trained professional and experienced liar ni basi tu watu hawajamshtukia.Alitupiga fix Magu yuko bize ofisini anachapa kazi kumbe mzee wa watu kashajirudia zake kwa baba....
Professional liar at work 😂
ubaya exprience does not suite anywhere zaidi ya CCM!Huyu Mzee ni highly trained professional and experienced liar ni basi tu watu hawajamshtukia.
Huyu waziri mkuu mzima kweli? Yaani majibu ya ubovu wa mkataba wa DP World ni elimu ya faraja kwa wananchi?Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
Herding behaviorHuyu Mzee ni highly trained professional and experienced liar ni basi tu watu hawajamshtukia.
Jamaa wanadhani sisi tuna akili kama zaoAlitupiga fix Magu yuko bize ofisini anachapa kazi kumbe mzee wa watu kashajirudia zake kwa baba....
Kama anajitambua, atazingatia ushauri wako. Lakini hawa bwana huwa wanaamini kwa vile wana madaraka, basi wana akili sana.Nakushauri kaa kimya ktk hili ndugu Kassim.
Bora alivyokuwa ameamua kukaa kimya muda wote.Huyu waziri mkuu mzima kweli? Yaani majibu ya ubovu wa mkataba wa DP World ni elimu ya faraja kwa wananchi?