Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

Labda elimu ya kimagumashi kama ile aliyoitoa chakubanga Polepole ya magazijuto kuhusiana ile 1.5tri

NENO ELIMU LINA MAANA PANA SANA
 
Utetezi Wa DP World Wapiga Hodi Msikitini Kupata Huruma Yao
Ccm Kweli Imejaa Makandokando Tele
 
Watanzania hawakuamini
 
Hii Elimu ingetolewa kabla yakusaini mktaba . Professional rabish at work.

Kizuri cha jiuza . Kibaya cha jitembeza
 
Watawala kuweni macho.achanani na Dp.
 
Hakunaga NCHI YA DUBAI, Unadanganya waumini MAJALIWA😳
 
Kuna mambo mageni sana awamu 6

1. Mikataba ni mingi sana na nchi za kiaarabu

2. Mitaala ya elimu imebadirishwa na kutoa kozi nyingi za kislam hasa Alevel na hakuna kozi hizo kwa wakristo

3. Raslimali za nchi zinapelekwa uarabuni, walianza na Loliondo tikanyamza, wamekuja na bandari zote , hatuwezi nyanaza
 

Attachments

  • 78A94F0B-929C-4930-8FCE-F41915E11A94.jpeg
    50.6 KB · Views: 2
  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • 9F9C7573-D066-4A73-A5EE-0B750754BAF2.jpeg
    51.3 KB · Views: 4
  • 2267D5BE-4FC5-42AC-93BC-4737FD7B704D.jpeg
    140.9 KB · Views: 1
  • 596B9D0B-D0A5-4736-8952-F14CE408BD57.jpeg
    32 KB · Views: 4
  • 86DD8902-C84A-4E78-BC5D-627527B72EDD.jpeg
    55.3 KB · Views: 1
  • 1BF16948-F4BF-4C1B-B253-D522DC6A7E3F.jpeg
    150.5 KB · Views: 2
  • C8DD092F-CB35-4089-9FAA-3E3B7035DDC2.jpeg
    131.1 KB · Views: 3
  • F8A22AAB-57EB-4075-B332-E17B73B1E737.jpeg
    75.7 KB · Views: 1
  • 6E96C242-927D-4276-B29D-2ED5E58D246E.jpeg
    23.3 KB · Views: 1
  • 7CF0E23B-85FE-44C6-8B69-67D95B851884.jpeg
    37.8 KB · Views: 1
  • DA97BCBB-6DED-4AE6-996C-7F0984234446.jpeg
    55 KB · Views: 1
  • 7B76F51F-1957-4709-9308-EE35DFCA0AD1.jpeg
    62 KB · Views: 1
  • 8E1AC31F-BF3B-4245-A5C1-7449F6765B5B.jpeg
    55.5 KB · Views: 1
  • 9F3EA6D8-8E42-448C-BD12-B8DF6A61E23B.jpeg
    71.8 KB · Views: 1
  • EFC8D7DF-BAE8-4EBC-851E-96473C60B680.jpeg
    58.4 KB · Views: 1
  • CD7E8164-CDF6-4FF5-9882-46EB90CEA2FF.jpeg
    57 KB · Views: 1
  • 5096775E-68BE-4F6F-BDBB-B8C4B03854D1.jpeg
    35.5 KB · Views: 1
  • E8525058-89CF-4AF3-BC9C-8D1AAD41C7BB.jpeg
    58 KB · Views: 1
  • 2D717809-2B97-4243-86DB-5823B64364BA.jpeg
    115.9 KB · Views: 1
  • 4EB3F724-1194-478B-BEBE-5604093027C3.jpeg
    4.3 KB · Views: 1
  • 3B75B3E1-B64A-442E-AFE6-8AC05DE727B2.jpeg
    55.1 KB · Views: 1
Tangu siku hiyo alipo sema uwongo ndani ya msikiti huwa simuamini
 
Mimi wakijibu swali lako No.1 tu nitaridhika wakinifafanulia tofauti Kati ya Mkataba na makubaliano. Na je kama ni makubaliano tu siyo Mkataba hawaoni kuwa Bunge limevunja Katiba maana Ibara 63(3)(e) inalitaka Bunge kujadili na kupitisha mikataba na siyo makubaliano?
 
Hatuutaki faraja ndugu majaliwa,Ila tuuvunje mkataba kwanza hiyo ndo itakuwa faraja yetu
 
Hivi kumbe Dubai ni nchi eenh?!

Halafu, hivi ni kweli Watanzania tunahitaji faraja au tunachotaka ni kuondokana na mikataba ya hovyo inayoturudisha utumwani?!

Hawa viongozi wetu sijui wakati mwingine huwa wanafikiria kwa kutumia nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…