Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kama Waziri Mkuu mwenye akili timamu anaweza kuropoka hovyo namna hii. Angesema Bashite sawa tu lakini Majaliwa! Jamani Watanzania, tulimkosea nini Mungu hadi shetani anatupiga hivi?johnthebaptist, Kwamba ibada zikifanyika kwa muda mfupi ndio CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini
Duh kama maoni yangu yamekukera basi nisamehe sioni haja ya kuitana wajinga maana hapa hatulipwi wewe usiye mjinga na mie mjinga wote maoni yetu yanaishia humu humu JF tu.
Tafadhali soma tena ujumbe wangu kwa makini kisha upeleke ujinga wako huko nyumbani kwenu ukautulize huko kimya.
Yaani mkuu leo kazunguka mbuyuMheshimiwa Majaliwa funga tu milango ya nyumba za Mungu, au unangoja watz wafe wote?
Mungu halazimiswi wala hapangiwi, muda wake ukifika Corona itaisha. Tahadhari ni muhimu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu mkuu umegonga henyeweCjui hili suala lina manufaa kwa nan?ktk dini ya uislaam ipo wazi tu kipindi kama hiki ibada inatakiwa kufanyika nyumban na hao viongozi wa din nadhan wanafikiria mno sadaka kuliko maslahi ya umma ni muda muafaka kusitishwa hii mikusanyiko tusisubir mpaka yatokee ni kutumia busara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Italy hawakujua umuhimu wa Ibada hadi Pope kahutubia kanisa bila waumini?Ili kujikinga na hili janga usiwasikilize wanasiasa wala viongozi wa dini, sikiliza wataalamu wa afya.
Jana kwa bahati mbaya sana nilimsikia padri mmoja wa kikatoliki akihojiwa na VOA kuhusu kusitisha ibada akasema ibada ni mkusanyiko wa muhimu sana ndio maana hata serikali haijazuia.
I totally agree with you.JokaKuu,
Serikali inataka kujionyesha kwamba ina wacha Mungu, hivyo wanatoa nafasi ya upendeleo kwa nyumba za ibada, ni kama wanawatega viongozi wa dini ili huko mbeleni wawatumie kwa faida ya kisiasa.
Hahahaaaa.........nimekuelewa!Huyo Bibi Yuko very right kufanya hivyo. Viatu na miguu vinabeba wadudu Hawa, kwa hiyo kunahaja ya kusafisha miguu unapoingia ndani ya Nyuma, unaweza nawa mikono ukawa imeingia navyo vya miguuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wa dini kama yupi, Gwajima? Thubutu! Hela za waumini wake tamu!..i totally agree with you.
..hapa nadhani Viongozi wa dini wachukue hatua wao wenyewe wasisubiri kuamriwa na serikali.
Roma na Maka wamesitisha ibada za mikusanyiko makanisani na misikitini lakini waswahili tunakomaa na kukusanyika. Mungu atunusuru.