Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome huyu Gaidi Mwamedi kazi kubaka vitoto under age Tu.Sio kwa wazungu, ni kwawale wanaemuabudia yule mwamba anae ning'inia pale msalabani na kichupi.
Hebu nyoosha maelezo mkuu!
Msome huyu Gaidi Mwamedi kazi kubaka vitoto under age Tu.
Macron ana mke mwenye umri wa miaka 64+Hata huyo Emmauel Macron ni shoga. Ndio maana hadi leo hana mtoto.
Na ndio maana ameamua kujaza mashoga wenzie hapo serikalini.
Msome huyu Gaidi Mwamedi kazi kubaka vitoto under age Tu.
Msome huyu Gaidi Mwamedi kazi kubaka vitoto under age Tu.
Acha kupotosha watu ndugu.
Watanganyika acheni unafiki. Watu wanapasuana kwenu bila kujisafishaWaziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.
Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa cha Rais Emmanuel Macron cha Renaissance na kundi la Renew katika Bunge la Ulaya, anachukua nafasi ya Catherine Colonna katika mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu wa zamani Elisabeth Borne siku ya Jumatatu.
Waziri huyo mpya wa mambo ya nje mwenye umri wa miaka 38 alikuwa mshauri wa Macron tangu akiwa Waziri wa Uchumi na Fedha, kisha akajiunga na timu yake mwaka 2014 na kubaki naye katika katika kampeni za uchaguzi wa Rais mwaka 2017.
Macron alimteua Attal kuchukua nafasi ya Borne siku ya Jumanne, na kumfanya kuwa waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Ufaransa na aliyejitangaza hadharani pia kuwa anajihusisha na maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja. Kabla ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu, Attal aliwahi kuwa Waziri wa Elimu.
Itakumbukwa kuwa baada tu ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, alichukua hatua ya kupiga marufuku wanafunzi wasichana Waislamu kuvaa vazi la Abaya maskulini.
Attal na Sejourne walianzisha rasmi mahusiano yao ya kingono mwaka 2017 kupitia 'ufungishaji ndoa' wa kiraia na kuyatangaza hadharani mwaka uliofuata, wakati Attal alipojitokeza hadharani na kujitangaza kuwa ni 'shoga'.
Hata hivyo, mnamo mwezi Oktoba, Attal alidai katika tamko rasmi juu ya migongano ya masilahi kwa Mamlaka ya Juu ya Uwazi katika Maisha ya Umma kwamba hakuwa na mshirika rasmi katika mahusiano ya kingono, ingawa yeye na Sejourne hawajawahi kutangaza hadharani kuwa wametengana kisheria.
Huko nyuma mnamo mwaka 2018, Attal aliwahi kuwa msemaji wa chama cha Macron kwa muda wa miezi 10, wakati huo kikiitwa La Republique en Marche baada ya kukihama Chama cha Kisoshalisti miaka miwili mapema ili kumuunga mkono Macron katika kinyang'anyiro cha kuwania urais.
Mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya Emmanul macron siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita, yameelezewa kama juhudi za rais huyo wa Ufaransa za kuokoa umashuhuri unaodidimia wa serikali yake.
Acha kupotosha watu ndugu.
Kiapo cha shwtanHakuna cha ajabu hapo Kwa wazungu, hiki ndicho wanachokipigania.
Sheria haziruhusuKwa hiyo balozi wa Ufaransa hapa bongo akiwa basha na akija na mke wake itakuwaje? Wote wawili wataalikwa Ikulu?
Sio kweli ukiwa genius unakuaje shoga sasa wakati ushoga ni ugonjw wa akiliSababu kuu mashoga wa ulaya wengi ni genius.
Pokea baraka Toka kwa papaPapa alisharuhusu, mimi ni nani nipinge?
Mashoga walipotosha