bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Utowashi ni mfumo wa maamuziKanisa lako linawaita Hao ni matowashi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utowashi ni mfumo wa maamuziKanisa lako linawaita Hao ni matowashi?
Wanaishi maisha ya kitowashiMapadri ni matowashi?
Wanaishi maisha ya kitowashi
Utowashi ni mfumo wa maamuzi
Padre ni cheo,towashi ni mfumo wa maisha ya useja.Jibu swali
Kanisa lako linawaita mapadri ni matowashi?
Ubishi wako nini sasa kwani padri anaruhusiwa kuoa? Wao uishi maisha ya usejalabda imeandika biblia yako
Ndio nakusikia wewe kuna maisha ya kitowashi ambayo wanaishi mapadri😝😝😝
baki nikufumue sega la asaliBola nibaki Bongo
Hakuna hiki kitu ndio maana tukaumbwa pairMwili unao namna yake ya kujicontrol hata usipofanya ngono,ni uamuzi TU kama matowashi wanavyoamua kutofanya ngono Hadi kifo.
Hawaruhusiwi ila ndio unadhani hawawi na wanawake au wale ma sister kua na wanaume?Ubishi wako nini sasa kwani padri anaruhusiwa kuoa? Wao uishi maisha ya useja
Huo ni udhaifu binafsi,kwani wote wanaoHawaruhusiwi ila ndio unadhani hawawi na wanawake au wale ma sister kua na wanaume?
Ubishi wako nini sasa kwani padri anaruhusiwa kuoa? Wao uishi maisha ya useja
Tasfiri ya towashi ni mseja,sasa mseja sio shoga.
Maisha ya useja ni maisha ya kutopenda au kutofanya ngono
Na pia wengi ni mashogaHawaruhusiwi ila ndio unadhani hawawi na wanawake au wale ma sister kua na wanaume?
Acha ubishi.angalia sababu zimfanyazo mtu kuwa towashiAya haijataja padri , au wewe unataka tuwaite mapadri ni Matowashi?
Towashi ni kuishi maisha ya ubachelaTowashi ni eunuch
Mseja ni bachelor
Usilazimishe tafsiri
Sio wengi ni wengi sanaaaaaaaaNa pia wengi ni mashoga
![]()
Four in five Vatican priests are gay, book claims
French journalist’s book is a ‘startling account of corruption and hypocrisy’, publisher sayswww.theguardian.com
Ulaya watamalizana baada ya miaka 200 watoto wengi watakuwa mixed, weusi na wengine kutoka asia, kama hata hao weusi hawatageuka kuwa mashoga.Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.
Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa cha Rais Emmanuel Macron cha Renaissance na kundi la Renew katika Bunge la Ulaya, anachukua nafasi ya Catherine Colonna katika mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu wa zamani Elisabeth Borne siku ya Jumatatu.
Waziri huyo mpya wa mambo ya nje mwenye umri wa miaka 38 alikuwa mshauri wa Macron tangu akiwa Waziri wa Uchumi na Fedha, kisha akajiunga na timu yake mwaka 2014 na kubaki naye katika katika kampeni za uchaguzi wa Rais mwaka 2017.
Macron alimteua Attal kuchukua nafasi ya Borne siku ya Jumanne, na kumfanya kuwa waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Ufaransa na aliyejitangaza hadharani pia kuwa anajihusisha na maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja. Kabla ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu, Attal aliwahi kuwa Waziri wa Elimu.
Itakumbukwa kuwa baada tu ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, alichukua hatua ya kupiga marufuku wanafunzi wasichana Waislamu kuvaa vazi la Abaya maskulini.
Attal na Sejourne walianzisha rasmi mahusiano yao ya kingono mwaka 2017 kupitia 'ufungishaji ndoa' wa kiraia na kuyatangaza hadharani mwaka uliofuata, wakati Attal alipojitokeza hadharani na kujitangaza kuwa ni 'shoga'.
Hata hivyo, mnamo mwezi Oktoba, Attal alidai katika tamko rasmi juu ya migongano ya masilahi kwa Mamlaka ya Juu ya Uwazi katika Maisha ya Umma kwamba hakuwa na mshirika rasmi katika mahusiano ya kingono, ingawa yeye na Sejourne hawajawahi kutangaza hadharani kuwa wametengana kisheria.
Huko nyuma mnamo mwaka 2018, Attal aliwahi kuwa msemaji wa chama cha Macron kwa muda wa miezi 10, wakati huo kikiitwa La Republique en Marche baada ya kukihama Chama cha Kisoshalisti miaka miwili mapema ili kumuunga mkono Macron katika kinyang'anyiro cha kuwania urais.
Mabadiliko ya baraza la mawaziri aliyofanya Emmanul macron siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita, yameelezewa kama juhudi za rais huyo wa Ufaransa za kuokoa umashuhuri unaodidimia wa serikali yake.
Sio udhaifu huwezi shindana na asiliHuo ni udhaifu binafsi,kwani wote wanao
Sio kweli.Sio udhaifu huwezi shindana na asili