Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina ajiuzulu kutokana na maandamano Yanayoendelea

Nipo natazama hapa Al Jazeera News.

Bangladesh Pm Ousted.

Hali si hali
 
Kimsingi ukishaongoza miaka Mingi watu wanakuchoka na wakiliamsha ndio hivyo tena.

But kurudi kwenye siasa Kwa kizazi chake itategemea Hali ya maisha itakavyokuwa Kwa watakaofuata.

Uzoefu Unaonesha Mabadiliko ya ghafla ya Utawala hayajawahi leta nafuu,hapo wengine wataanza kugombania vyeo na mlichoandamania hamkipati 😁😁
 
Uchaguzi ujao CCM mkituibia Kura yatawakuta kama haya ya Bangladesh

Kwa mijoga hii tuliyonayo , kamanda Sirro akijamba wote mnajificha mivunguni mwa vitanda ??
 
Nasisi tunatuma salamu kwa Samia na CCM Uchaguzi ujao mkituibia Kura au mkiwatanganza walioshindwa tunasema hivi safari hiii safari hiii... Hiiiii...mjidanganye...
Kizimkazi atapiga mbizi fasta tu kutokea upande wa pili kikinuka.
 
Kwa mijoga hii tuliyonayo , kamanda Sirro akijamba wote mnajificha mivunguni mwa vitanda ??
Kama wataendelea kutuibia kura kama alivyosema Nape safari hii tunatumia nguvu ya UMMA kuwaondoa Madarakani.
 
Ndio maana mbogamboga hawapendi hata harufu ya haya mambo.... Magogoni sio mbali sana na Jangwani 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kaandamane kwenu utusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…